guess why?

may be you have reached o...sm for the first time in your se...a.. practice
 
hivi ukiambiwa sleep tight/tite inamaanisha ulaleje?

UJIBANE mkubwa!
nimetania tu. . .kwa sikuhizi it simply means o th same as 'sleep well' 'usiku mwema'. . .na wishes nyingne nzur za usiku!
Plus, this slptyt word, has its origin from way bak. . . gugo it kama wataka jua!
 
Inamaanisha ulale huku umevaa skin jeans, huku umefunga mkanda.. Usisahau na raba upo King'asti..lol
Na hii posting vaya mobaili inamaanisha unampa Kaisari yaliyo ya Kaisari na Mungu yaliyo ya Mungu au?
 
Na hii posting vaya mobaili inamaanisha unampa Kaisari yaliyo ya Kaisari na Mungu yaliyo ya Mungu au?
Name calling babu.. Afu mswalie mtume jamani.... Ujue nilikuota usiku wa kuamkia leo... Ukitaja tena Kaisari utasababisha ndoto iendelee!.. Nifikishie salam zangu za dhati kwa Kaizer... Mwambie tume bado inaendelea kuchunguza asili ya hiyo ID yake!
 
Naona kuna mmoja anajua jibu ila haja fafanua vizuri... endeleeni kujaribu
 
Name calling babu.. Afu mswalie mtume jamani.... Ujue nilikuota usiku wa kuamkia leo... Ukitaja tena Kaisari utasababisha ndoto iendelee!.. Nifikishie salam zangu za dhati kwa Kaizer... Mwambie tume bado inaendelea kuchunguza asili ya hiyo ID yake!
Hahahaha ODM anapenda ndoto...... hya na uote tena Kaisari na Kaisari na Kaizer.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom