Guess who is this TZ one and only Mega Star???

NBA Basket Baller Hashim Tallu! :rapture:
Nadhani hapo alikuwa na miezi sita! Ooh a joke!
 
Je mwenye mtoto kakuruhusu utumie picha ya mtoto wake???????????????/
 
Hii picha mwenyewe kaiscan kwa ajili yetu mashabiki wake, na ipo kwenye pitures forfans. Inaruhusiwa kuichukua ili mradi umsimvunjie heshima yake.
 
Kwani wewe Leornado ndiye Hashim T?

Otherwise utakuwa ume-infrige haki ya familia na yeye mwenyewe
 
Mbona other stars picha zao zinawekwa tangu wakiwa vichanga na sio ishu??au jamaa yeye hapendi? Sasa kama hapendi mashabiki wake tufurahi inakuwaje ikawekwa kwenye funs pics? Naona nimeshikiwa bango na hii picha ya mchezaji ambae najivunia sana kwa taifa letu..mweeee!!!!!!!!.
 
Unajivunia lipi? Yeye kuuza sura NBA? Au yeye kuwa moto NBA? He looked promising,hadi akafananishwa na Mutombo. Lakini sasa yupo kwny hati hati,kwani hata kupelekwa kwny D-League inaonekana sio level yake! Msimjaze bichwa,the kid is a floppy. Anahitaji ushauri na mwongozo wa kisaikolojia,too bad his family isn't giving him (familia yake imetoka uswahilini Sinza hadi US,ni jambo ambalo hawakulitarajia. It's like SHOCK and AWE operation ya Bush. Ivyo wote psychologically wapo kwny pumbuwazi).
 
duh hili nalo neno. Sasa tutamsaidiaje dogo manake akifulia na nchi imefulia. Au hana mchango wowote nyumbani tz??
 
Unajivunia lipi? Yeye kuuza sura NBA? Au yeye kuwa moto NBA? He looked promising,hadi akafananishwa na Mutombo. Lakini sasa yupo kwny hati hati,kwani hata kupelekwa kwny D-League inaonekana sio level yake! Msimjaze bichwa,the kid is a floppy. Anahitaji ushauri na mwongozo wa kisaikolojia,too bad his family isn't giving him (familia yake imetoka uswahilini Sinza hadi US,ni jambo ambalo hawakulitarajia. It's like SHOCK and AWE operation ya Bush. Ivyo wote psychologically wapo kwny pumbuwazi).

Naunga mkono hoja isipokuwa kene bold..
 
QUOTE=Iza;Naunga mkono hoja isipokuwa kene bold..

Oops. My bad. I meant bumbuwazi. Sorry if I offended anybody.
 
QUOTE=Leornado;duh hili nalo neno. Sasa tutamsaidiaje dogo manake akifulia na nchi imefulia. Au hana mchango wowote nyumbani tz??

Hasijione SUPERSTAR kwasababu anapigana vikumbo na kina Kobe,King James,Wade,Garnett,Pierce n.k. Then awaconsult akina Mutombo,Olujuwan na wote waliovuma NBA wakitoa Afrika. Hao watampa ushauri ya namna gani aishi as a professional baller and as an African who is watched and idolised by millions of kids back home. Akifanya ivyo nina uhakika atafanya mazoezi kwa uchungu na bidii zaidi,then atafanikiwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom