Guardiola kutompa mkono Fabregas, lidhani iko Afrika tu

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Jana baada ya Game ya Mancity na Chelsea kwisha na Mancity kufungwa goli 3 kwa 1 kocha Pep Guardiola wa Mancity hakumpa mkono Fabregas sijui alikataa Au hakumuona

Ila Video inaonyesha Fabregas akimshika bega kabsa lakin Pep Hakugeuka kumpa mkono na tuelewe wote ni Waspain hawa

Tusubiri habari zaid kama Pep Guardiola Naye atawekewa vikwazo kwa kosa la kutompa mtu mkono au ataachwa hivyo hivyo
 
Guardiola ana roho mbaya sana. Na hicho ndio kitamfelisha England. Ukifuatilia historia yake utafahamu vizuri.
 
Alizoea Spain ligi ya timu tatu German ya timu mbili,siku zake zinaweza kuanza kuhesabika pale Ethad.
 
Me nahisi hajampa mkono kwa kuwa cesc ndie aliesababisha fernadinho apewe red card, ni wazi fabregas alimtafutia jamaa card kwakuwa walikuwa wameshapanic na ile faulo ya aguero, cesc alimchapa kibao fernadinho jamaa akapanic then cesc akawa mpole kabisa anamuacha jamaa afanye anavyotaka, bahat mbaya wote refa na linesman hawakuona nini chanzo hivo wakadili na mchezaji wa pep, So kile kitendo hakikumfurahisha pep
 
Mess ana akili sana.
Kuna Beki zina Sifa sana Epl kukuvunja wao hawaoni shida ukutane na timu kama stoke city the potters,West bromwich Messi anaweza akakaa msimu mzima bila kutupia muulize Mateja Kezman Na Robihno watakwambia
 
No way out akubali matokeo tu kwenye mpira mwenye Mbinu kali ndo anashinda na kuna wachezaji kaz yao ni kutafutia wenzao redcard tu
 
Kuna Beki zina Sifa sana Epl kukuvunja wao hawaoni shida ukutane na timu kama stoke city the potters,West bromwich Messi anaweza akakaa msimu mzima bila kutupia muulize Mateja Kezman Na Robihno watakwambia
Na kuna mwehu anaitwa Juan Sbastian Veron, nae alitua Man U lakini alikiona cha moto, kidogo baadae alivoenda Chelsea ndio aliweza japo kidogo.
 
Na kuna mwehu anaitwa Juan Sbastian Veron, nae alitua Man U lakini alikiona cha moto, kidogo baadae alivoenda Chelsea ndio aliweza japo kidogo.
Huyu jamaa c alitoka Lazio ya italia Daa tukadhan tumelamba bonge la kiungo na ule upara wake kumbe hamna kitu ligi ya manguvu mengi ile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom