Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,491
- 3,998
- Thread starter
- #21
Hongera sana mkuu huenda ukawa mchambuzi chipukizi. Kinachowaumiza ni hicho tu,simba ikishinda wanalala wakiwaza na kuumia mioyo yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga hii ya Sasa inacheza mpira wa kiwango kizuri Sana kupita enzi za Manji.
Tatizo lao ni Moja tu wanalinganisha matokeo yao na matokeo ya Simba. Simba ikishinda nao wanataka washinde, hilo ndilo tatizo lao. Mkwasa alitakiwa awe kocha mkuu wa Yanga. Anauwezo mkubwa wa kuhamasisha wachezaji kucheza katika kiwango cha Juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app