GSM waambieni watu wenu ukweli kuhusu Kisinda, Djuma Shabani. Simba mmedanganya bei ya Banda

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,661
Waambieni kwamba kisinda alikuja kwa mkopo toka sa vita hamjamuuza kwenda morroco kauzwa na wakala wake ,hivi hizo biashara zenu na as vita zimejaa uongo uongo tu ,

Dujma shaban ilitakiwa mummpe usd 45,000 dollars kabla ya kumtangaza mkampa 25,000 usd kisha mkamtangaza kakaksirika na kurudisha hela naye pi anaenda Moroco.

Mkatudanganya eti anauzwa usd 500,000 kisa snitch la GSM liitwalo Manara lilipost, hata beki mpya wa Simba anyejiita Varanae kasajiliwa kwaa usd 35,000 huko Congo nako ni njaa tu

HELA ZA KISINDA ZA USAJILI ZIMEENDA KWA WAKALA WAKE.

Nna mnavyosema replacement yake ni mkali kuliko yeye jiulize kwanini Ibenge asimchukue huyo sasa, jinga kabisa

MWISHO NI KWENU TEAM YANGU YA SIMBA NA NYIE ACHENI AUONGO BANDA KASAJILIWA KWA MILIONI 70 SIYO USD 300,000 HIVI MNATUONAJE LAKINI NYIE IULA ATLEAST BANDA ANAPOKEA 11,000,000 A MONTH KISINDA NA MUKOKO WANAKUNJA 6,000,000 UTOPOLONI
 
Umeongea kishabiki sana
Alie kuelewa anielekeze na mimi
kama hujaelewa kwa nini umesema nimeongea kishabiki, ni kwamba tuisila kisinda anenda berkane ya moroco inayofundishwa na florente ibenge ,utopolo wanadanganya wamemuuza ila ukweli ni kwamba kisinda alikuwa yanga kwa mkopo so hela hii inaliwa na wakala wake na kisinda mwenyewe\
djuma shabani kuna hatihati ya kuja bongo GSm walikiuka masharti hawakumalizia usd 20,000 kabla ya august
simba walianzisha rumors kwamba peter banda anauzwa usd 300,000 kumbe ni usd 30,000 waliyomununua nayo
 
waambieni kwamba kisinda alikuja kwa mkopo toka sa vita hamjamuuza kwenda morroco kauzwa na wakala wake ,hivi hizo biashara zenu na as vita zimejaa uongo uongo tu ,
Point yako hasa ni ipi hapo?
Dujma shaban ilitakiwa mummpe usd 45,000 dollars kabla ya kumtangaza mkampa 25,000 usd kisha mkamtangaza kakaksirika na kurudisha hela naye pi anaenda moroco
Ametangazwa lini, na wapi?
Mkatudanganya eti anauzwa usd 500,000 kisa snitch la GSM liitwalo manara lilipost, hata beki mpya wa simba anyejiita varanae kasajiliwa kwaa usd 35,000 huko congo nako ni njaa tu
Ni mchezaji yupi ambao hao GSM walitangaza anauzwa $500K?! Au Haji Manara?
HELA ZA KISINDA ZA USAJILI ZIMEENDA KWA WAKALA WAKE na mnavyosema replacement yake ni mkali kuliko yeye jiulize kwanini ibenge asimchukue huyo sasa..jinga kabisa
Sio kwa Vita SC tena? Yaani umeshasema Kisinda alikuwa mali ya Vita SC halafu hapa unatuambia pesa imeenda kwa Wakala wake?

A new football business model?
MWISHO NI KWENU TEAM YANGU YA SIMBA NA NYIE ACHENI AUONGO BANDA KASAJILIWA KWA MILIONI 70 SIYO USD 300,000 HIVI MNATUONAJE LAKINI NYIE IULA ATLEAST BANDA ANAPOKEA 11,000,000 A MONTH KISINDA NA MUKOKO WANAKUNJA 6,000,000 UTOPOLONI
Hivi TV au Radio Station ya GSM inayotangaza hayo mambo inaitwaje nami nianze kuifuatilia?
 
Point yako hasa ni ipi hapo?

Ametangazwa lini, na wapi?

Ni mchezaji yupi ambao hao GSM walitangaza anauzwa $500K?! Au Haji Manara?

Sio kwa Vita SC tena? Yaani umeshasema Kisinda alikuwa mali ya Vita SC halafu hapa unatuambia pesa imeenda kwa Wakala wake?

A new football business model?

Hivi TV su Radio Station ya GSM inayotangaza hayo mambo inaitwaje nami nianze kuifuatilia?
wala usipate shida wana propaganda machine za hatari, kitenge, privaldinho, hajj manara waliyemtumia kupiost kwamba djuma shaban thamani yake ni bilioni 1.2 kumbe hata hiyo usd 45,000 ililipwa kwa installment, uooongo uongo tu
 
Wacha weee!!!

Mara hii Manara kawa Mwana-propaganda wa GSM!! Halafu mbona kama unachanganya kuhusu suala la thamani ya Mchezaji na pesa aliyotakiwa kupewa Mchezaji kukubali kujiunga na club?!

Ina maana hao wana-propaganda hawakuwaambia tunaposema thamani ya mchezaji ni ile pesa ambayo club moja inatakiwa kuilipa club nyingine, lakini sio signing fee?!
 
endela kubisha ,tuisila hela yake ya kuuzwa haijaingia utopolo, djuma shaban haji tena baada ya kushindwa kumaliziwa usd 20k by august..take it from me.
Wachezaji wote waliosajiliwa na simba,azam,yanga wako dsm an leo walikuwa muhimbili kupigwa chanjoya covid 19 teams zote 3 umemuona djuma shaaban?
 
endela kubisha ,tuisila hela yake ya kuuzwa haijaingia utopolo, djuma shaban haji tena baada ya kushindwa kumaliziwa usd 20k by august..take it from me.
Source yako ni Mwamedi au Babara? Btw, nimebisha au nimekuambia tofautisha kati ya signing fee na transfer fee!!! Wewe umedai Propaganda Machines za GSM zilisema thamani ya Djuma ni Sh 1.2 Billion!!!

Now tell me, hiyo 1.2Billion ni transfer or signing fee?

Halafu ngoja... nimegundua unakwepa baadhi ya maswali... huwezi kukimbia kirahisi namna hiyo!!!

Ulisema Tuisila ni mali ya AS Vita; sasa how come tena transfer fee ikaenda kwa wakala? Au ulimaanisha signing fee ndiyo ilienda kwa wakala?
Wachezaji wote waliosajiliwa na simba,azam,yanga wako dsm an leo walikuwa muhimbili kupigwa chanjoya covid 19 teams zote 3 umemuona djuma shaaban?
Hebu nioneshe post kutoka Yanga au GSM inayosema Djuma Shaaban amesajiriwa na Yanga!!!
 
kama hujaelewa kwa nini umesema nimeongea kishabiki, ni kwamba tuisila kisinda anenda berkane ya moroco inayofundishwa na florente ibenge ,utopolo wanadanganya wamemuuza ila ukweli ni kwamba kisinda alikuwa yanga kwa mkopo so hela hii inaliwa na wakala wake na kisinda mwenyewe\
djuma shabani kuna hatihati ya kuja bongo GSm walikiuka masharti hawakumalizia usd 20,000 kabla ya august
simba walianzisha rumors kwamba peter banda anauzwa usd 300,000 kumbe ni usd 30,000 waliyomununua nayo
Ninachojua kisinda mwaka 2019 alitolewa kwa mkopo kutoka maniema fc kwenda Vita Club 2020 yanga wakamsajili kutoka Vita ila ela za manunuzi walichukua maniema fc kwaiyo kisinda alikuwa mchezaji halali wa yanga.ishu ya banda sheriffu ya moldova ilitaka kumsajili kiharali ila walishidwana kwenye bei na big bullet y malawi walikuwa wanataka million 780 big bullet.sheriffu wakashidwa kulipa banda akarud malawi simba ndio wakamchukua sasa kwa situation hii simba awezi kumnunua kwa 70tu ni uwongo may be ungesema 500 ningekubar na banda amecheza mechi za kufuzu uefa.kwaiyo alikuw kwenye mipango ya kocha
 
Source yako ni Mwamedi au Babara? Btw, nimebisha au nimekuambia tofautisha kati ya signing fee na transfer fee!!! Wewe umedai Propaganda Machines za GSM zilisema thamani ya Djuma ni Sh 1.2 Billion!!!

Now tell me, hiyo 1.2Billion ni transfer or signing fee?

Halafu ngoja... nimegundua unakwepa baadhi ya maswali... huwezi kukimbia kirahisi namna hiyo!!!

Ulisema Tuisila ni mali ya AS Vita; sasa how come tena transfer fee ikaenda kwa wakala? Au ulimaanisha signing fee ndiyo ilienda kwa wakala?

Hebu nioneshe post kutoka Yanga au GSM inayosema Djuma Shaaban amesajiriwa na Yanga!!!
Mkuu ulipompiga panatosha aseeh utaua huyo lopolopo
 
"MATAJIRI" waliolipa transfer fee ya usd 500,000 wakashindwa kumalizia usd 20,000 by august ili mchezaji aje bongo na leo hajaonekana muhimbili kupigwa chanjo, only fools wataamini hilo
"MATAJIRI" ambao hawamtaki michael sarpong ila yeye kawakazia kama wanatyaka kuvunja mkataba wampe usd 35,000 wao wanataka wamlipe mshahara wa miezi miwili kakaataa na hadi sasa wanahindwa kumuacha kwenye list yao
"MATAJIRI "amabo kwa kushirikiana na propaganada machien zao kwa msimu mzima walishindwa kusema ukweli kwamba tuisila kisinda alikuwa anacheza kwa mkopo na hawatapata hela yoyote akiuzwa Rs berkane kama vile jinsi walivyokosa hela ya makambo kuuzwa horoya
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom