GSM umekuja kuwaliza Yanga na sio kuwainua. Time will tell

Status
Not open for further replies.
Nembo si ni nembo tu, tuvae tu.

Mbona plate namba za magari yetu zina rangi za njano mbona hatukatai, hata huyo CEO Barbara anapanda gari lenye plate namba za njamo mbona hagomei.

Basi letu la Simba pamoja na kupigwa rangi nyeupe na nyekundu lakini kwente plate namba ipo rangi ya njano.

Viongozi wetu wa Simba ni wajinga sana iwapo kama wanagomea vitu vidogo kama hivi.
Iweke kwenye bikini yako

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wakuu wapenzi wa michezo na burudani na wasalimu kwa jina la kanuni na sheria za mpira.

Leo tarehe 07/12/2021 nimeona mijadala mingi mitandaoni inayohusu udhamini wa GSM na TFF ambao bado kisheria ni mkataba usio fuata taratibu za michezo km zinavyooainishwa kuanzia FIFA na CAF na hata sheria za ndani za hao TFF na bodi ya ligi haziruhusu hu ujinga unaondelea.

Kingine mechi ya derby inakaribia afu TFF inakuja na ujinga ili kuivuruga timu moja (simba sc), hili halikubaliki na simba ina watu makini poleni. Narudia tena poleni.(utopolo)

GSM ni mdhamini wa yanga na ndiye anasambaza jezj za utopwinyo, hivi hawa TFF na bodi ya ligi wanatumia sheria zipi ikiwa hizo walizo nazo wanashindwa kuzitambua..? Yaani uweke ADIDAS na NIKE/PUMA/UMBRO kwenye jezi moja. Ni aibu gani hii kama taifa.?

Ujumbe kwa TFF. jueni sisi ndio simba wakali wa kanuni na sheria tulimpiga utopwinyo huko CAS kwa Morrison sasa round hii itakua kubwa kuliko maana naona GSM anahangaika kutafuta tiketi ya kumrudisha utopwinyo ligi daraja la 2.

Nawasisitizia, simba ina watu makini.

Mwisho nawakumbusha utopwinyo time will tell.

Kichwa cha habari na utumbo ulioandika aviendani ata kidogo, unasema gsm amekuja kuwapoteza yanga sijui anawapotezaje kwa akili zako fupi, yanga ndo kasaini mkataba wa kudhamini ligi? Huo ni mkataba baina ya kampuni ya gsm na tff, kwaiyo usiitaje kabisa yanga apo maana kwenye mkataba. huo ujamuona mshindo msola wala mwakalebela wala mwanasheria yyeyote. wa yanga, ivyo nendeni popote mnapopataka kwanza gsm wala hana muda mchafu wa kuwajibu mtajibiwa na tff uko
 
Akili yako kijiko itaelewaje kilicho andikwa. Ndio kaja kuwapoteza yanga tena nimekuambia time will tell huna akili kaa kimya
 
Wamepata hasara kubwa sana waliokulea; ni bora hiyo nguvu wangeelekeza kufuga mbuzi.

..........!!!!
Huku hatuongei na vi junior sawa toka lini watu wanoitwa junior wakawa na akili za watu wazima ww ni mtoto kalale mbwa
 
Nembo si ni nembo tu, tuvae tu.

Mbona plate namba za magari yetu zina rangi za njano mbona hatukatai, hata huyo CEO Barbara anapanda gari lenye plate namba za njamo mbona hagomei.

Basi letu la Simba pamoja na kupigwa rangi nyeupe na nyekundu lakini kwente plate namba ipo rangi ya njano.

Viongozi wetu wa Simba ni wajinga sana iwapo kama wanagomea vitu vidogo kama hivi.
Wewe ni kitimoto kwa kweli.
 
Akili yako kijiko itaelewaje kilicho andikwa. Ndio kaja kuwapoteza yanga tena nimekuambia time will tell huna akili kaa kimya
Wewe ndo bogus kabisa ngoja tusubili tuone icho unachokisema tusipotezeane muda kwenye mambo ya kipuuzi
 
Karia ni mtu mpuuzi sana...sana...ndio maana mpira wa bongo ni takataka...ona waamuzi wanachofanya very fucken foolish...Kuna siku yatatokea mambo ya hatari sana kwenye mpira wa bongo....viongozi wanaomlinda wanajulikana wala sio siri..
Kila kitu kina mwisho ...
Hili ni angalizo tu...mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom