GSM atakuwa na hela nyingi sana za kufanyia mzaha

Yes anafanya jambo jema kwa mpira wa miguu, ila kinachoonekana sasaa katika board yao of directors aidha kuna utoto mwingi au kuna ujinga mwingi.
Maneno ya wakosaji.Mwambieni Mo nae aweke hela kumbuka GSM ni tajiri kweli kweli fuatilia usimuliwe habari zake.Mfano
Wanamiliki visima vya mafuta vya kutosha uko uarabuni na
Baba yake Mzazi yuko huko.
Anadhamini ligi kuu,Anadhamini ligi daraja la kwanza,Anadhamini ligi kuu Zanzibar,atakuwa mdhamini wa kombe la Mapinduzi Zanzibar hapa sijuhi Simba mtakwepa wapi vinginevyo msishiriki mjitoe Na kwa Taarifa tu mambo lukuki ya GSM yanakuja hapa Mimi Nafikiri mshaurine Tapeli ya kihindi nae aweke mzigo zaidi.Niwape umbea tu hiyo mechi ya Jumamosi wachezaji wameaidiwa donge nono haijawahi kutokea katika soka la Tanzania.
Kwa hali hii GSM anavyotumia pesa mjiandae kisaikolojia Usajiri wa dirisha dogo,Chama na wengineo kwenda Jangwani kwani hela si tatizo
 
Umemaliza kila kitu mkuu.
 
Hawa Simba bado hawajamjua GSM vizuri, mpaka wavishwe dela ndio wataamini mambo yamebadilika.
 
Maneno ya wakosaji.Mwambieni Mo nae aweke hela kumbuka GSM ni tajiri kweli kweli fuatilia usimuliwe habari zake.Mfano
Wanamiliki visima vya mafuta vya kutosha uko uarabuni na
Baba yake Mzazi yuko huko.
Anadhamini ligi kuu,Anadhamini ligi daraja la kwanza,Anadhamini ligi kuu Zanzibar,atakuwa mdhamini wa kombe la Mapinduzi Zanzibar hapa sijuhi Simba mtakwepa wapi vinginevyo msishiriki mjitoe Na kwa Taarifa tu mambo lukuki ya GSM yanakuja hapa Mimi Nafikiri mshaurine Tapeli ya kihindi nae aweke mzigo zaidi.Niwape umbea tu hiyo mechi ya Jumamosi wachezaji wameaidiwa donge nono haijawahi kutokea katika soka la Tanzania.
Kwa hali hii GSM anavyotumia pesa mjiandae kisaikolojia Usajiri wa dirisha dogo,Chama na wengineo kwenda Jangwani kwani hela si tatizo
Yaani wezi kupitia home shopping center ndio wawe na visima arabuni? Mweh
 
Kinachofanywa na bwana gharib said Mohammed ni kutuletea abiria mtanikoma kwenye soccer letu,, ila hii ndo bongo ye anajua labda anaikomoa timu fulani na mdhamini wao,, kama alivyokuja basi ndivyo atakavyokimbia,, na watakaomkimbiza ni hao hao wanaomshangalia hivi sasa,, twende tuishi!!!!!
 
Kumbuka mpira pesa bila pesa hakuna kitu ndiyo maana Mo yuko Simba kwa uwekezaji ingawaje ni utapeli mwingi
Kuna timu inaishinda Azam kwa pesa,mbona wanapumulia oxgen?.
Mpira wa bongo ni uhuni,figisu na pesa.
Injinia sio muhuni ni mstaarabu.
 
Yaani wezi kupitia home shopping center ndio wawe na visima arabuni? Mweh

Wazee wa kupiga deal za mizigo enzi ya awamu ya nne,full utapeli na ushamba mwingi.Ona tu wanavyoendesha mambo yao ndiyo utajua,pale hata elimu haipo zaidi ya utapeli
 
Back
Top Bottom