GSM alladin

Mdugo

Member
Nov 17, 2017
55
37
Jamani Mimi ni mwanafunzi... Na kwa sasa Niko katika harakati za kujifunza jinsi ya kutumia hiyo program ya computer.

Naomba kujua tatizo nini napoishia hapo katika operations zangu. Inakwamia hapo mda mrefu sana bila mafanikio yoyote.

Kwa mjuzi zaidi, naomba kujua shida huenda ikawa nini hapo.

Asante.
Capture.PNG
 
1. Ufahamu hio Ni software ya Box, inahitaji uwe na kifaa chake kuweza kutumia Kila feature, zipo za kuchakachua zisizotumia box pia,

2. Hapo juu kushoto palipoandikwa port Mara nyingi software za namna hii inatakiwa isome na kuandika port ya USB ambayo simu imechomekwa.

Umeinstall driver's za mediatek za simu husika? Maana hii inakuwa ndio challenge kubwa ya hizi box, hasa vile hizi drivers zake hazipo signed.

Na unatumia windows gani?
 
Thanks a lot... Windows 7 64 bit...

Nimefanikiwa operation niliyokuwa nahitaji.

But nimeshimdwa kusoma password ya simu ambayo nilikuwa najaribishia. Naambiwa niinstall drivers gani sijui nimesahau... But nitaweka screenshot hapa. Nimefanikiwa kutoa frp kusoma pattern n.k.

Bado naifanyia mazoezi tofauti tofauti...
 
Make sure unapress bootkey baada ya kuchomeka usb
Hapa ni wakati wa kuflash sio?? Bado sijafanya operation hii... Na nategemea soon nitafanya hii nikikwama pia nitakuuliza mkuu... Asante sana
 
Sio wakt wa kuflash tu...hata unapotaka kutoa hyo frp..baadh ya simu lazma upress bootkey
Hapa ni wakati wa kuflash sio?? Bado sijafanya operation hii... Na nategemea soon nitafanya hii nikikwama pia nitakuuliza mkuu... Asante sana
 
Nimewnza mdogo mdogo... Imekuja hiyo error shida itakuwa nini hapi
IMG_20190820_150219.jpeg
 
1. Ufahamu hio Ni software ya Box, inahitaji uwe na kifaa chake kuweza kutumia Kila feature, zipo za kuchakachua zisizotumia box pia,

2. Hapo juu kushoto palipoandikwa port Mara nyingi software za namna hii inatakiwa isome na kuandika port ya USB ambayo simu imechomekwa.

Umeinstall driver's za mediatek za simu husika? Maana hii inakuwa ndio challenge kubwa ya hizi box, hasa vile hizi drivers zake hazipo signed.

Na unatumia windows gani?
naombeni mwongozo hapa, nina hizi simu ndogo za tecn 1465, nawezaje kuiflash? natumia windows 10 64 bit. Nimedownload gsm alladin lakini sijaelewajinsi ya kuitumia
 
1. Ufahamu hio Ni software ya Box, inahitaji uwe na kifaa chake kuweza kutumia Kila feature, zipo za kuchakachua zisizotumia box pia,

2. Hapo juu kushoto palipoandikwa port Mara nyingi software za namna hii inatakiwa isome na kuandika port ya USB ambayo simu imechomekwa.

Umeinstall driver's za mediatek za simu husika? Maana hii inakuwa ndio challenge kubwa ya hizi box, hasa vile hizi drivers zake hazipo signed.

Na unatumia windows gani?
Maelekezo kidogo maana na mimi nilidownload nikashindwa kuinstall izo za mediatek Maelekezo kidogo maana na mimi nilidownload nikashindwa kuinstall izo drives za mediatek,
Nahitaji sana hili somo
 
Tatizo kubwa la mediatek drivers zao sio verified hivyo kuna step kadhaa za kufuata kwa windows 7 na step nyingi zaidi win 10.

Step by step jinsi ya kuzieka utaona hapa
 
Asante mkuu nitajaribu kufanya ivo
 
Back
Top Bottom