vakolavene
Member
- Jan 20, 2017
- 39
- 26
Naombeni nifahamishwe kuna madhara yeyote kwenye hili?
Mke wangu ni mjamzito. Alikwenda clinic kuanza clinic ya wajawazito yapata mwezi. Juzi nimeshika kadi yake ya clinic nikaona yeye ni group O positive. Ikanibidi na mimi nikumbuke group langu la damu. Na mimi ni O lakini ni negative.
NAOMBA kuuliza kuna madhara yeyote kwa mtoto atakayezaliwa maana najaribu kukumbuka kipindi cha biology secondary kama hali hii inahitaji uangalizi zaidi sasa nashindwa pata jibu ndio kile tulichosoma darasani au ni tofauti?
Nisaidieni