Grobal publisher huu ni unafiki mwingine

wajojo

Senior Member
Apr 29, 2013
155
83
Nilikuwa nasubiria kwa hamu gazeti la leo litachapa nini kuhusu show ya lady jay dee na kaka yetu mwana fa,ni gazeti la IJUMAA WIKIENDA,ila nilichokisoma kwa kweli kimenishangaza,tena imeonyesha udhaifu wenu wa kulindana na clouds fm,sasa mliona nini kusema JIDE ALIFUNIKA??,mliogopa nini ikiwa nyie mnajifanya mnatoa habari za uhakika bila kupendelea wala kuangalia maslahi ya mtu yeyote??,hivi ndivyo mlivyoandika "HUKU FA KULE JD,MSHINDI HAITAJI KUMULIKWA NA TOCHI,sasa mliona vipi kusema wazi kuwa jide alifunika??,nini maana yakutoa ile habari??,mlitaka watu wajue nani kafanya nini na nyie mlipaswa kuandika jinsi ilivyokuwa sasa wakina mama mwantumu watajuaje huyo aliyefunika ambao uwezo wa kuingia kwenye hizo show hawana??,acheni izo bwana au mliogopa kuaribu uhusiano wenu na clouds??,kama mmechagua kazi ya umbea fanyeni kwa nguvu zote sio mnaleta mambo ya kipumbavu apa...
 
kama mmechagua kazi ya umbea fanyeni kwa nguvu zote sio mnaleta mambo ya kipumbavu apa..,nimeipenda hii verse
 
Mambo ya Jide na Mwana FA yamewagawa mashabiki na wasio mashabiki wa muziki wetu wa kibongo
 
Back
Top Bottom