TANZIA Grivas Mwangoka afariki dunia kwa ajali ya Gari

hao watu mali zao wanazijua wao wenyewe kwakweli acha tu sio pombe wala nini ila kuna mengi yaani
Kwa research yangu isiyo rasmi matajir wengi wambeya wanakufa naajali zamagari wakiwa wao ndio madereva.
Mmiliki wa shule ya agrey(mwambusi) waligongwa akiwa namwanaye, mliki w hotel ya greencity aligongwa na Taqwa akiwa anatoka dar. Kutakua kunanamna
 
Kwa research yangu isiyo rasmi matajir wengi wambeya wanakufa naajali zamagari wakiwa wao ndio madereva.
Mmiliki wa shule ya agrey(mwambusi) waligongwa akiwa namwanaye, mliki w hotel ya greencity aligongwa na Taqwa akiwa anatoka dar. Kutakua kunanamna
shortcut hayo maeneo wanazipenda sana ndugu hiyo mbeya mjini nenda hadi huko mbozi mbozi ukiingia huko tunduma ndio usiseme yaani,
mfanano wa vifo historia ya maeneo hayo kunakuwa na uwalakini sana,
 
Poleni wafiwa. Daima tujitahidi kuwa waangalifu barabarani. Hizi alama za barabarani na speed meters kwenye vyombo vya usafiri si mapambo. Tunahitaji kuzifuata kwa umakini. Asilimia kubwa ya ajali zinatokana na uzembe wa wahusika. Vijana wengi ndo wanakuwa wahanga wa hizi ajali siku hizi...sijui ni ujana na jeuri ya pesa..Mwenye Mungu atusaidie. Nguvu ya kazi inapotea.

Mimi nikiwa barabarani siku zote najiuliza hizi speed za viongozi wa serikali..ni kwamba wao wana mkataba na Mungu? Its really unfortunate lakini inasikitisha sana.

Mwisho wa siku ukiondoka, si wewe tena, ni wale wategemezi wako. Tuache ubinafsi. Siku zote tutambue kwamba matendo na maamuzi yetu yana impact kubwa kwa wengine kuliko sisi. Imagine mshua kama huyu atakuwa na watoto under 10s...na biashara ambazo ilikuwa inategemewa na makumi kama siyo mamia....sad.

Apumzike kwa amani ndugu yetu Full dose. Familia yake, wafanyakazi wake na mke wake, nawapa pole maalumu kwa huu msiba.
Eti Wana mkataba na Mungu
 
Back
Top Bottom