"green guard" watuhumiwa kuwajeruhi viongozi wa chadema huko morogoro

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,125
[h=3][/h]



Taarifa ambazo zimepatikana kwenye mitandao jamii zinaelezwa kuwa, jana usiku katika kata ya Minepa jimbo la Ulanga Magharibi, vijana waliosadikiwa kuwa wa “green guard” waliwavamia viongozi wa CHADEMA na kuwajeruhi...


Waliojeruhiwa ni Mwenyekiti wa Jimbo bw. Kibam Ally Mohammed (aliyevaa shati ya michirizi), Katibu wa Jimbo bw. Lucas Lihambalimo (aliyevaa shati jekundu) na Bw. Severin Matanila, Katibu Mwenezi tawi la Minepa (aliyekaa, mwenye bandeji), ndiye mlinzi wa mgombea.



chanzo. "GREEN GUARD" WATUHUMIWA KUWAJERUHI VIONGOZI WA CHADEMA HUKO MOROGORO - MPEKUZI HURU
 
Hivi watanzania mbona kondoo sana. Ni kwa nini umma usiwadhibiti hawa vijana wanaodanganywa na mwigulu? Tutafumbia macho huu ujinga mpaka lini? Tuamke inatosha sasa.
 
Back
Top Bottom