Green Certificate

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
Wakuu

Naomba mwenye weledi anifafanulie maana na mantiki ya Green Certificate inayotolewa na TRA, nasikia inatuumiza sana kama ilivyokua kwa Tax Holiday
 
Kuna makampuni saba tu yamepewa certificate hii na mawili kati ya hayo yanamilikiwa na mtoto wa kigogo nchini
 
kwa mantiki hiyo, wengo hupitishia biashara zao kwa makampuni haya na ku-default
 
hii imesababisha hasara ya 13% KATIKA UKUSANYAJI WA KODI NCHNI
 
ebwana me naona hawa wa2 wanajaliana wao wenyewe,jamen watanzania tuamke kwan 2nanaendelea kunyonywa na wale wenye nazo, ambao ni wanasiasa na dawa ni kuwangoa madarakani mapema.
 
Back
Top Bottom