Green card za kuishi marekani ni ukweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Green card za kuishi marekani ni ukweli

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by 3squere, Dec 11, 2011.

 1. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nauliza green card za kuishi marekani (usa) ni za ukweli au jast story mana nimesikia muda lakini sjui kama kuna mbongo kapatata nafaz kama kuna mwanajf kapata atuambie nami nihipotezee muda kuitafuta
   
 2. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kama ni kweli wekeni mpangilio mzima faida na asara
   
 3. k

  kabindi JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 334
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Kwa kukusahidia na pengine kwa wengine, tembelea Websites hapo chini then utajifunza mengi na utaona idadi ya WaTZ ambao wameishakwenda USA kwa mwaka husika.

  DV-2011 Registration kwa ajili ya 2013 imeishafungwa, hivyo itabidi usubiri hadi mwakani kwa ajili ya 2014  Diversity Visa (DV) Program
  Diversity Visa Program: DV-2013 Entry Instructions


  YOU CAN DO IT ELECTRONICALLY AND THIS IS THE OFFICIAL SITE YOU DO NOT NEED AN AGENT WHO WILL RIP YOU OFF!
   
 4. k

  kabindi JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 334
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nilikusudia kuweka Website but imekataa, then unachoweza kufanya nenda kwenye google or any search engine ask for DIVERSITY VISA LOTTERY PROGRAM utapata maelezo.
   
 5. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,447
  Likes Received: 7,187
  Trophy Points: 280
  Mimi nitabanana hapahapa tanzania,ya nini nikawe second class citizen?
   
 6. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  You are right. Mimi naishi nchi ya watu, kila wakati ni kujibana tu, huna haki, unaonekana kama nyani, huna raha, hakuna nyama choma wala mbwembwe na vituko vya kujirusha vya wabongo.

  Can not wait to come back home, home is home bwana....
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Nakushauri achana na huo mpango kabla haujauanza, watakufirisi mpaka senti ya mwisho hao wahuni na Green card usipate, huo upumbavu hauna tofauti na hizi promosheni za tigo, voda, zain n:k.
  Mwisho wa siku hizo program ni kama zime creaty ajila kwenye Agency zao za kimarekani. Don,t waste ur time on GREEN card lottary.
   
 8. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #8
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Acha kabsa wala usiote hyo k2, ni mchezo wa pata poteza, 2lia 2jenge nchi ye2 pamoja, kaa kiume 2pige nyundo hawa mafsadi! Tz z mor 5* than usa 4 cutenes, w hv evrythng!
   
 9. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #9
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Aisiii wewe umenena mkuu, huku hawa wenzetu hawatupi heshima ambayo sisi tunawapa wakija huko africa, sisi tumezidi ukarimu, akija mzungu atapokewa na kuenziwa kama mungu mdogo, badala yake sisi huku wanatuona kama wapita njia na kama tunawaharibia nchi, like you said, hamna uhuru, hamna kujirusha, na mahali pengine ubaguzi wazi wazi... nyumbani ni nyumbani kaka, nakupa salute kwa kuliona hilo
   
 10. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #10
  Dec 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,304
  Trophy Points: 280
  Matola
  Green Card za marekani ni BURE. HULIPI CHOCHOTE zaidi ya picha ya passport size unayopiga kwa ajili ya kuambatanisha kwenye application yako. Au wewe unazungumzia hawa matapeli wanaojifanya ni maajenti wa green card na wanatoza fedha? Kama jibu ni ndio basi ni kweli utaliwa saaana.
   
 11. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #11
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Diversity visa application ni free,hutakiwi kulipa chochote kile na hata kama utashinda ama kupata nafasi hiyo hawatakupigia simu wala kukutumia ujumbe wowote ule,ni wewe kuhifadhi taarifa ulizotumiwa wakati unafanya application na kuzitumia kulogin kuangalia kama umechaguliwa la hasha,na kama umechaguliwa basi utakwenda balozi ya karibu na kuanza mchakato wa kushughurikia viza yako
  lakini maranyingi wanahitaji jamaa waliokwenda shule ndio wenye advantage zaidi
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Na gharama za medical examination analipia nani?
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Dec 12, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kuna wahafidhina wana hoja za kijinga kweli. Sasa wewe ulitaka alipe nani?
   
 14. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #14
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  si hizo tu hata gharama za viza pia utalipia,utofauti unakuja pale unapotakiwa kutuma pesa na wale wahuni wa uingereza ama kulipia idadi ya watu utakaokwenda nao USA,hao ni wezi tu,na hata hizo gharama za afya kwa bongo kimaghumashi ni chee mkuu na viza ni kawaida kuilipia mahala popote duniani hupewi bure

  tunachokiongelea hapa ni juu ya wale wezi(scamers) wanaotuma sms za kutaka pesa hata kama hujapata nafasi
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Mkuu ninapokuuliza hivi usidhani mimi ni saa 7 usiku! najuwa ninachokiuliza na hujui ni kwa nini nakuuliza na Nimefika US mara kadhaa, kwahiyo najuwa ninachokiongea hapa.

  Unafahamu kwamba kuna timing ya kucheza hizo Rotary? ni miezi michache sana kwa mwaka na zipo site nyingi bila kujari kama ni free au lah! cha msingi kuna pesa nyingi tu utapoteza kwenye ujinga huu, na kwa taarifa yako ubalozi wa Marekani wao ndio wanateuwa Hospital ya kufanya hizo Medical Examination, ebu kama upo Bongo pita siku moja pale Trauma Hospital Masaki halafu ukute kulivyowekwa Price list kwa dollar utadhani ni menu ya Restaurant hapo ndipo utajuwa mimi nazungumzia nini.
   
Loading...