Green Card Lottery | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Green Card Lottery

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rainbow, Aug 2, 2008.

 1. Rainbow

  Rainbow Member

  #1
  Aug 2, 2008
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wandugu,
  Kuna mtanzania yeyote humu aliyepokea majibu ya green card lottery (DV-2009) iliyochezwa mwaka jana? wamesema majibu yametumwa kwa walioshinda, kati ya may na july, mwaka huu.
   
 2. Mzuzu

  Mzuzu JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2008
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Nilipata notification letter April 08 mimi. Nilicheza DV-2009
   
 3. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2008
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni kweli, miye nimepokea wiki ya kwanza ya may. Kutokana na schedule za shughuri hiyo pale Kentucky kila mtu aliyeshinda anapashwa kuwa amepokea barua yake kabla ya mwisho wa mwezi wa June 2008 na Visa zitaanza kutolewa Oct 2008 thru sept 2009.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Aug 4, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Bwahahahahahahaa....kumbe na wewe una kijani eeeh...sasa si useme ukweli tu uliipataje (kwa kuolewa)......bwahahahahahahahahahaaaaaa
   
 5. M

  Mama Lao JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2008
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 238
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BAdo ...tunaendelea kuzisubiri!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 6. Nyama Hatari

  Nyama Hatari JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 221
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kupata letter of notification from green card lottery siyo guarantee kwamba utapata visa/green card. Hiyo ni only first step on your way to (possibly) being issued a green card. Kuna vigezo kadhaa ambavyo ni decisive as to whether you'll eventually qualify for a green card, kama vile rank number, results of medical check-up, criminal record(s), financial ability na level of education. One could "win" the green card lottery but ultimately become disqualified because of failure to meet any of these crucial requirements.
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Aug 5, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  You just had to let everybody know that you won a green card eeeh? Una akili ya kitoto kweli wewe. Sasa unamringishia nani hiyo green card? Mwenyewe unaona mali hiyo green card....Lol...Grow up....badala ya kufanya mambo ya maana kwenye maisha yako unacheza mi bahati nasibu kwenye intaneti. Go figure.....
   
 8. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2008
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Heri mimi Sijasema............CHUBWI
   
 9. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2008
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hayo maneno ya mkosaji na hayasaidii hata chembe kujibu swala la mtoa hoja. Kama unakerwa kwa sababu zako binafsi usugue.
   
Loading...