Green Card kumbe ni kweli aisee tucheze hii kitu

Faida za Green Card ni nini? Kuna jamaa nakumbuka long time sana alipata Green Card akaingia huko maandishi matatu ,cha kushangaza zaidi ya miaka 15 hajarudi bongo.
Shughulisha akili yako nenda Google type...faida za green card ni nini? nenda Facebook,You tube majibu utayapata huko.kuhusu huyo jamaa yako wala havihusiani na mada...JF hapa kuna nyuzi kibao kuhusu green card zenye majibu ya maswali yako.. Over!
 
Kama kuna mtu anahitaji msaada kumsaidia kumjazia anishtue,pia mwenye maswali mbalimbali kuhusu Marekani
Ingekuwa vizuri ukaweka mawasiliano. Mimi Kuna mdogo wangu wa kike mme wake alipata na wakaenda USA toka 2005 wako huko.
 
Huwezi kufanya uo upumbavu maana inatakiwa uwe na hati ya kusafiri zaidi ya moja. Picha za passport zaidi ya moja. Nchi unayotoka iwe ni zaidi ya moja. Elimu yako iwe tofauti Mara diploma, Mara degree, Mara form six na majina yawe tofauti tofauti kwenye vyeti. ..ukifaulu hapo wewe ni zaidi ya mchawi
 
Shughulisha akili yako nenda Google type...faida za green card ni nini? nenda Facebook,You tube majibu utayapata huko.kuhusu huyo jamaa yako wala havihusiani na mada...JF hapa kuna nyuzi kibao kuhusu green card zenye majibu ya maswali yako.. Over!
Mkuu kama unazijua ebu nipatie ,inanishangaza inakuwaje jamaa amepata green card tangu 2006 au 7 akaenda DC Washington ila hajarudi bongo miaka yote ila majamaa wengine tu wa kawaida walienda wenyewe wenyewe wanarudi likizo na wanafanya maajabu ,mcheck Chris Lukosi anauza Madungu Jeshi lakini anarudi likizo fresh na wala hana Blue wala Green Card.(Diversity Visa Lottery).
 
Green card inakupa ukazi wa kudumu wa Marekani Yani unakuwa permanent resident wa Marekani na ukisha kuwa na green card unaruhusiwa kufanya kazi yeyote ile nchini Marekani ya kukuingizia kipato kama raia wengine wa Marekani bila bugudha wala hutahitaji tena kuwa na vibali vya kufanya kazi Marekani.Utapewa green card na kitu inaitwa "Social security" baada ya hapo ni kufanya kazi uwezavyo kusaka $Dolaa.....

Pia ukishapata green card, Hutakiwi kuwa nje ya Marekani kwa muda unaozidi Miezi 6 bila kutoa taarifa kwa wahusika..Hivyo kama utahitaji kuwa nje ya Marekani kwa muda utakao zidi miezi 6 lazima utoe taarifa ya kwamba hutakuwepo kwa kipindi cha zaidi ya miezi 6...Ila chini ya miezi 6 Unaruhusiwa kuwa nje ya Marekani kufanya ishu zako nyingine ila usizidishe muda wa miezi 6.

NOTE: Ukiwa na green card unatambulika kama mkazi wa kudumu wa Marekani na sio Raia wa Marekani.Ku apply green card ni bure kila mwaka mwezi wa kumi kwanzia tarehe 5 hadi tarehe 8 mwezi wa kumi na moja.Dirisha la ku apply bado lipo wazi sasa mpaka tarehe 8 Mwezi huu wa 11 litakapo fungwa rasmi. Ku apply ni bure kabisa. Ila ukihitaji kufanyiwa application gharama zitakuwepo kidogo kulingana na huyo utakaye Muomba akusaidie.

Ukishinda green card andaa HELA ya kutosha nasisitiza hapa, Andaa HELA ya kutosha ku process vitu kama Medical fee, Green card fee, interview fee,Air ticket,Hela ya kuanzia life Marekani na caution money usisahau..At least 10M zinatosha ku move from Tanzania to USA.

Kila la kheri.....
 
Umetoa ufafanuzi mujarabu. Kwa DV 2024 dirisha limefungwa/limejifunga rasmi leo.

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom