Greda lagonga mwendesha pikipiki mjini musoma alasiri ya leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Greda lagonga mwendesha pikipiki mjini musoma alasiri ya leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gumzo, Jul 21, 2012.

 1. G

  Gumzo JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=3][/h] [h=3][/h][TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Ajali mbaya iliyohusisha Greda na Bodaboda imetokea alasiri hii mjini Musoma katika makutano ya Barabara ya Shabani na Bus Stop. Ajali hiyo imepelekea abiria ambaye hakufahamika jina lake aliyekuwa amepakiwa katika pikipiki hiyo kujeruhiwa vibaya maeneo ya tumbo baada ya kuburutwa na mashine hiyo ya kutengenezea barabara.(Na Magiri paul wa Musoma)[/TD]
  [TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [​IMG]
  Pikipiki iliyogongwa katika tukio hilo
  Hata hivyo limetokea gari la shirika la umeme Tanesco na kumchukua majeruhi huyo na kumkimbiza katika hospitali ya Mkoa wa Mara. Mpaka mwandishi wetu anaondoka eneo la tukio kulikuwa na sintofahamu ya ni wapi madereva wa pikipiki na Greda hilo wameelekea kwani mashuhuda wa tukio hilo wanasema dereva wa pikipiki alikimbia punde tu ajali ilipotokea.[h=3]GREDA LAGONGA MWENDESHA PIKIPIKI MJINI MUSOMA ALASIRI YA LEO[/h] [h=3][/h][TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Ajali mbaya iliyohusisha Greda na Bodaboda imetokea alasiri hii mjini Musoma katika makutano ya Barabara ya Shabani na Bus Stop. Ajali hiyo imepelekea abiria ambaye hakufahamika jina lake aliyekuwa amepakiwa katika pikipiki hiyo kujeruhiwa vibaya maeneo ya tumbo baada ya kuburutwa na mashine hiyo ya kutengenezea barabara.(Na Magiri paul wa Musoma)[/TD]
  [TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [​IMG]
  Pikipiki iliyogongwa katika tukio hilo
  Hata hivyo limetokea gari la shirika la umeme Tanesco na kumchukua majeruhi huyo na kumkimbiza katika hospitali ya Mkoa wa Mara. Mpaka mwandishi wetu anaondoka eneo la tukio kulikuwa na sintofahamu ya ni wapi madereva wa pikipiki na Greda hilo wameelekea kwani mashuhuda wa tukio hilo wanasema dereva wa pikipiki alikimbia punde tu ajali ilipotokea.

  KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI
   
 2. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  abiria alikufa baada ya kufikishwa hospitali hiyo jana.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  RIP abiria. Pole kwa familia yake.
   
 4. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  jina lake nani?
   
Loading...