Great thinkers tupange baraza la mawaziri

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
762
Poleni na majukumu ndugu zangu.
Nafikiri tuangalie upya structure ya baraza la mawaziri and if possible the reporting line. Personally I dont care who are appointed into those posts but my concern would be the structure in terms of size and accountability. I believe any one could simply get spoiled if the whole arrangement is vague and that what has been happening now. For now let's first establish if we really need 60 ministers in such a poor country like TZ the answer would simply be NO. If I were the President I would then have my cabinet looks like this.

1. PRIME MINISTER(0NE MINISTER)
2. FINANCE/TRADE MINISTER(2 MINISTERS)
3. MINERAL/ENERGY AND INFRASTRUCTURE (2 MINISTERS)
4. FOREIGN/EAST AFRICA MINISTER (TWO MINISTERS)
5. HOME AFFAIRS (ONE MINISTER)
6. CULTURE/BROADCASTING (ONE MINISTER)
7. YOUTH, WORKS AND EMPOWERMENT(ONE MINISTER)
8. NATURAL RESOURCES/ TOURISM (ONE MINISTER)
9. FOOD, AGRICULTURAL AND LIVESTOCK (TWO MINISTERS)
10.EDUCATION (ONE MINISTER)
11. TAMISEMI (ONE MINISTER)
13. LAW/CONSTITUTION.
14. HEALTHY

Mimi sioni haja ya kuwa na mawaziri wengi kwasababu wao kazi yao ni kusimamia Sera tu na siyo wataalamu. Nitajitahidi kuwa na makamishna wengi ambao wana taaluma kwenye wizara husika. Infact nachukia sana zana ya kuwa na Deputy Ministers and Secretary. Those people are all at par that's why most time are not getting along.

Naombeni Maoni yenu ma Great Thinker
 
Personaly I think you are jumping the gun. Whoever is appointed will run in the same system, maybe somewhat at low key, in the same machinery.
 
Naomba ukalale, umekosa hoja hadi unaamua kuleta pumba zako hapa, hata kama tukitaja, unadhani itabadilisha kile Mtukufu Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania H. E Dr J. M. Kikwete ameandaa?.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Naomba ukalale, umekosa hoja hadi unaamua kuleta pumba zako hapa, hata kama tukitaja, unadhani itabadilisha kile Mtukufu Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania H. E Dr J. M. Kikwete ameandaa?.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Wewe ndo nahisi unabidi ukalale
 
sasa hivi kwa hali ilivyo na hela za kuiba zilivyo wazi...waziri, naibu wake na katibu mkuu wanakua hawaelewani kwa sababu kila mtu anaangalia maslahi yake, hela zake za uwizi zikoje na jinsi ya kutengeneza makampuni hewa au mishahara hewa...so inabidi kue na msimamo mzuri tujue waziri kazi ya waziri ni ipi naibu wake ni ipi na katibu wake...naibu waziri boss wake ni nani na yuko responsible kwa nani..boss wake ni waziri au rais au waziri mkuu....hii imeleta matatizo miaka ya karibuni kwa sababu ya kutaka kujilimbukizia mali ndo mana kila mtu anakua ana kasheshe na mwenzake....its a shame...wakati wa utawala wa Rais Mwinyi vitu kama hivi mlikua hamvisikii
 
poleni na majukumu ndugu zangu.
Nafikiri tuangalie upya structure ya baraza la mawaziri and if possible the reporting line. Personally i dont care who are appointed into those posts but my concern would be the structure in terms of size and accountability. I believe any one could simply get spoiled if the whole arrangement is vague and that what has been happening now. For now let's first establish if we really need 60 ministers in such a poor country like tz the answer would simply be no. If i were the president i would then have my cabinet looks like this.

1. Prime minister(0ne minister)
2. Finance/trade minister(2 ministers)
3. Mineral/energy and infrastructure (2 ministers)
4. Foreign/east africa minister (two ministers)
5. Home affairs (one minister)
6. Culture/broadcasting (one minister)
7. Youth, works and empowerment(one minister)
8. Natural resources/ tourism (one minister)
9. Food, agricultural and livestock (two ministers)
10.education (one minister)
11. Tamisemi (one minister)
13. Law/constitution.
14. Healthy

mimi sioni haja ya kuwa na mawaziri wengi kwasababu wao kazi yao ni kusimamia sera tu na siyo wataalamu. Nitajitahidi kuwa na makamishna wengi ambao wana taaluma kwenye wizara husika. Infact nachukia sana zana ya kuwa na deputy ministers and secretary. Those people are all at par that's why most time are not getting along.

Naombeni maoni yenu ma great thinker

a very comprising idea! I support it.
 
Panga baraza la nyumbani kwako ukijianza wewe waziri mkuu, mkeo waziri wa mambo ya ndani endeleza wengine! hujachoka na ndoto za jk kubadili baraza??? hata akibadili unategemea nini kibadilike??
 
Seems to be comprehensive but who to implement those comprising ideas!!! We simply need new constitution
 
ADUI MWOMBEE NJAA
Mi naomba msimsadie huyu jk kwenye kupanga hili baraza ili avurunde tena 2015 tuchukue nchi kiulainiiiiii...
 
Tanzanians are not decent enough to lead themselves, we need to hire administration from abroad as we did with NETgroup solution in those days
 
Katiba mpya itakayoweka wazi dira na nyenzo za kutufikisha tunakotakq kwenda ndio jibu sahihi. Kwa sasa ni ulaji, wizi, uongo kwa kwenda mbele unless JK awe mkali kikwelikweli.
 
Katiba mpya itakayoweka wazi dira na nyenzo za kutufikisha tunakotakq kwenda ndio jibu sahihi. Kwa sasa ni ulaji, wizi, uongo na uzinzi ,hizo sifa mbaya kwa ukweli au kufikirika,kwa kwenda mbele unless JK awe mkali kikwelikweli.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom