Great thinkers na journalist tusaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Great thinkers na journalist tusaidieni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpigania Uhuru, Jun 20, 2012.

 1. Mpigania Uhuru

  Mpigania Uhuru Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Inawezekaje mtu unalipwa sh. Laki tatu Kwa mwezi NA SERIKALI, wakati huo huo bei ya chini ya Kiwanja ni sh. Milioni tano hadi Sita! Ili kununua Kiwanja unahitaji usitumie hata senti tano kwenye mshahara wako Kwa miaka Kama miwili !
  Je hili linawezekana Kwa binadamu wa kawaida?
  Ukweli wenye maeneo Yao wanataka fidia kubwa, lakini itatufaidi nini kama hayo maeneo yataishia mikononi mwa matajiri wachache !
  Kwa utararibu huu itabidi wengine tukubali kupokea rushwa ili tuweze kwenda NA Hali halisi. Hii Ndio Hali iliyomtokea Obi Okonkwo kwenye kitabu cha No Longer at Ease, by Chinua Achebe. Jamaa alikuwa mpinga rushwa sana, lakini baadae kutokana NA ukali wa maisha alikubali kupokea rushwa angalau alipie bank overdraft NA bill zinging
  .
  Waandishi wa habari za uchunguzi hebu TUSAIDIENI sisi wanyone, Kwa Mtindo huu lini tutaweza kununua hivyo viwanja bila kula rushwa?
   
Loading...