Great thinkers, msaada kwenye tuta!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Great thinkers, msaada kwenye tuta!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Menyous, Sep 20, 2009.

 1. M

  Menyous Senior Member

  #1
  Sep 20, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna mwanamke mmoja mujiriwa mahali fulani bosi wake amekuwa akimtaka kinguvu. Bibie baada ya kuchoshwa na kero hizo akamshitaki kwa kitengo husika, human capital, uchunguzi ukafanyika na kubainika ni kweli, jamaa akapangwa mbali na bibie. Haieleweki ni nini kilikuja kutokea ila baada ya muda jamaa akarudishwa tena na kuwekwa kitengo cha yule bibie kama boss wake tena!!! Jamaa akaendelea na usumbufu wake na vitisho kibao kwa yule mwanamke pamoja na kumtolea report na recommendation mbaya juu ya utendaji wake. Bibie akachukuliwa hatua za kinidhamu kwa makosa ambayo hakuyatenda (bali kutokana na report feki za yule boss aliyekwisha wahi thibitika kuwa na ufataki kwa huyo dada).

  Sasa waungwana, mnamshauri nini huyu mwanadada, mahusiano na boss hataki, human capital imefumbia macho vitendo vya huyo bwana raia wa kigeni kisa ni 'expertriate' na ati anamchango mkubwa kiutendaji!!

  Nina amini wengi wameshakutwa na mkasa walau unaofanana na huu, either directly-wenyewe au indirectly-wake zao, dada zao, watoto wao, mama zao, wadogoz zao.

  Ushaurizii tafadhali!!!
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Atafute ushauri wa kisheria. Manake anunue huduma za mwanasheria mapema kabla maji hayajazidi unga.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  Menyous:

  Whats the use of this now? Naona kama vile ni too-late!

  Ukitazama hiyo nyekundu, huyo dada tayari amethibitika

  kuwa na ufataki na huyu dada, sasa imekuwaje hamtaki

  tena?, unless kama unamaanisha vingine, au kama mimi

  sijui maana ya ufataki!
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...mkuu, kwa ninavyoijua nchi yangu...kesi za sexual harassments bado sana kutiliwa uzito, na hata adhabu zake huenda hazimtishii hata kunguru...

  TAMWA ingekuwa na meno kidooogo tungeona mabadiliko.
  Bibie akubali kushindwa tu, aombe uhamisho/abadilishe ajira,
  kama ana roho ngumu basi awakodishe makachero wa Globalpublisherz wamu -'Utamu' huyo kigogo!
   
 5. M

  Menyous Senior Member

  #5
  Oct 4, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Kweli!! Hili naona swala!!! Wale jamaa hawachagui yenye nguo au tupu!! Yoyote waikutayo hutwangi!
   
  Last edited: Oct 4, 2009
 6. M

  Menyous Senior Member

  #6
  Oct 4, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kilicho maanishwa mkuu ni kuwa alishathibitika kumtaka ki mapenzi huyo binti ili hali ni assistant wake. Hawakuwahi kuwa pamoja kimapenzi. Upo??
   
 7. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Mwambie huyo dada ampe kitenesi huyo mzee kwa mara moja tu wala hamna noma kabisa!!
   
 8. ABEDNEGO

  ABEDNEGO Senior Member

  #8
  Oct 5, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 109
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii habari ni ya upande mmoja tuu angalia kuliko upande wa pili kuna jambo halijakaa sawa hapa!!
   
Loading...