Great Thinker lets think Critically | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Great Thinker lets think Critically

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jamco_Za, Nov 10, 2010.

 1. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Uteuzi wa CCM kwenye kiti cha mkuu wa bunge unaweza kuwa ni nafuu kwa upinzani. Sisi hapa ni watu tunaofikiri beyond today, tuache kulalamika sana kuwa walioteuliwa watabana upinzani, what am saying hata angeteuliwa Chenge na uchafu wake wote na akawa Speaker then that was the responsibility ya upinzani kuturn hiyo mistake ya CCM kuwa opportunity yake. Let's cheers kama tunaipenda Tanzania na tungependa kuona maendeleo yake, let investigate every mistake ya utawala and turn it into opportunity bila kulalamika sana na kuonekana tunabwabwaja tu. Kama wapinzani wako serious and they need change then wangeomba chenge awe speaker kama ambavyo sasa hivi wanatakiwa wampigie Anna Abdallah kikongwe aliyestaafu na kurudi bila hodi, then use her weekeness kupata support ya wananchi. Tusiangalie upande mmoja wa matatizo, don't focus on problems focus on challenges and opportunity. Ushauri wangu kwa Dr. Slaa na Chadema kwa ujumla, msilalamike sana na matatizo ya CCM, rudini kwa wananchi muwaeleze matatizo hayo kwa busara vila vurugu, mna nafasi kubwa sana 5years mtazunguka nchi nzima na wananchi wote watawasikia na kufanya maamuzi sahihi. Ombeni CCM wakosee kwani hiyo ni nafasi ya pekee kwenu kudhibitisha kwa vitendo kuwa CCM hawafai kukaa madarakani. Kwa uongozi wa CCM nilimwambia Mh. Rais kwenye twitter, ombeni wapinzani waendelee kuwa wapiga kelele kama walivyo sasa badala ya kutake action, mtu anayepayuka sio mtendaji, mtendaji anafanya kimya kimya, ombeni wasiamke na kuanza Kampeni za 2015 leo wasubiri mpaka msajiri apulize kipenga nafikiri itakuwa July 2015 hiyo ndio salama yenu na hiyo itawafanya hata kama mnaibia wananchi wa wadanganyika kwa namna gani hakuna atakayewatoa madarakani si kwa amani au kwa mtutu wa bunduki. Kama kweli mnataka kuendelea kuwa madarakani hakikisheni wapinzani hawapati muda wa kufanya kampeni mapema, wala hamtakuwa na umuhimu wa kuwabia kura ili mshinde. Angalie mbele zaidi kwa kuexpect wananchi watauliza maswali gani wakati mnatafuta kura 2015 na jiandaeni na majibu kuanzia leo hii, mie binafsi nitawapa kura yangu kama mtajibu maswali yangu kabla sijayauliza. Ahsanteni
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Sote tunajua kuwa Chenge alikuwa "decoy". Mteule wa mafisadi kwenye Uspika ni Anna Makinda. Huyu hata alipokuwa Naibu Spika akipata nafasi alikuwa analiendesha Bunge kwa kuwanyima fursa au kuwaingiliingilia wapinzani wakiwa wanatoa hoja zao. Huo ndio utakuwa mwendelezo kwenye Bunge jipya kama Makinda atakuwa Spika. Lakini mimi nakubaliana na Jamco-za kuwa hiyo ni fursa kwa wapinzani kupambana ndani ya Bunge. Itatupa nafasi kuona kama wale wabunge wa CCM wanaojiita wapambanaji na ufisadi ni wakweli au ni viini macho. Kama ni kweli tutaona kama wataunga mkono misimamo ya kichama au watajipambanua.
   
 3. FarLeftist

  FarLeftist JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  mburuzaji...
   
 4. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Please can you elaborate what is in Red:

  Kulalamika sana....Unamaana gani haswa!!
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,279
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona point yake ni rahisi kuielewa, maana yake adui muombee njaa, CCM wanapofanya makosa ya kizembe kama haya , sisi wapenda HAKI tunatakiwa tufurahi, sio kulalamika, kulalamika wanatakiwa walalamiakiane wenyewe wanaoipenda CCM, sasa basi hazitakiwi porojo, kinachotakiwa ni mpango mkakati wa kuhakikisha wabunge makini wa CCM wanampigia kura MARANDO, pia lazima CHADEMA ikae na CUF, iwaombe Cuf, msaada wa kuwaombea kura za wabunge wa Zanzibar. nasisitita hapa porojo na malalamiko sio mahali pake, leteni mikakati ya jinsi ya kushinda nafasi ya USPIKA. PERIOD
   
Loading...