Great Awakening Africa: Madhehebu makongwe chukuaeni tahadhari

Hii ni topic inayofikirisha sana.

Umewahi kujiuliza ikiwa Mungu ni mmoja, kwanini madhehebu mengi, hasa kwenye sisi wafuasi wa Kristo?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Swali gumu Sana mkuu, na kila mmoja anamponda mwenzake , hata hivyo kila mmoja anshuhudia ukuu wa Mungu , Chakushangaza biblia inasema Imani moja na Mungu mmoja ..... Kichekesho ni kuwa wote wimbo wao ni mmoja Toa ndugu Toa ndugu...... Mifano ni mingi ya utoaji kuliko ya kumuelekeza mtu aache dhambi .... Mimi ni msabato but the stuation is horrible bro .....
Jamani biblia ndo mwamuz wa maisha ya Kila mtu tuachaneni na madhehebu , ni miradi ya watu
 
Maisha kuwa magumu na tamaa ya fedha na heshima katika jamii imefanya miujiza ichukue nafasi kubwa katika dini za leo. Ndo mana hawa manabii wako mijini tu vijijin hawaendi sabab kule watu wanajipambania kuishi.

Ila mtu akisikia nilipanda cheo, biashara wateja wameongezeka mara nimejenga nyumba ya kuishi. Lazma tuu waumini watajazana.
 
Eti kweli mbona hawaendi vijijini au kwakuwa wanajua huko watu hawana pesa!
 
Eti kweli mbona hawaendi vijijini au kwakuwa wanajua huko watu hawana pesa!
Huko hamna kitu. Huk watu wameshapambana had wanakata tamaa so wakisikia flan anatoa ushuhuda wa kupanda cheo na kutajirika lazma waje.

Lkn kijijini watu wamerizika na maisha ya jembe wala hawana shida ya kumiliki magar na kupanda vyeo.
 
Kuna kipindi nilitaka kuweka “UZI NIULIZIE KAMA KUNA MTU ALIWAHI PATA MUUJIZA KUPITIA KUTOA SADAKA NA ZAKA KWA WINGI KANISANI ATOE USHUHUDA WAKE”

Mimi hadi leo sijawahi toa zaka kwakweli. Maana kama sadaka natoaga sasa hiyo Zaka inakujaje kujaje japo niagizo la Mungu ila kutoa 10% ya mshahara siojambo rahisi
Kutoa inawezeka tu mbona.

Kama kweli unampenda Mungu, utamtumikia kwa roho na kweli.
 
Kama Mungu anajuwa yote ( Omnipotence) alishindwaje kujua kama Adam na Hawa watadanganywa na , kama Mungu yupo mahali pote (Omnipresence) kwa hiyo tukienda chooni tunakunya juu ya Mungu! Achaneni na hayo mambo fanyeni kazi, tumuenzi mzee wa hapa kazi tu.
Alijua yote na ndio maana hata tiketi ya kufika mbinguni ni rahis sana kuipata.
Kaweka utaratibu wa kuipata kiurahis na bure kabisa.

Ukishindwa ni upumbavu wako tu
 
Alijua yote na ndio maana hata tiketi ya kufika mbinguni ni rahis sana kuipata.
Kaweka utaratibu wa kuipata kiurahis kabisa.

Ukishindwa ni upumbavu wako tu
Tiketi ipi...
Kwa matumizi yako ya maneno ... Umeipata kweli?
 
Alijua yote na ndio maana hata tiketi ya kufika mbinguni ni rahis sana kuipata.
Kaweka utaratibu wa kuipata kiurahis na bure kabisa.

Ukishindwa ni upumbavu wako tu

Unavyojibu ndugu yangu.! Utazani kuingia mbinguni ni kama kwenda kuliona kaburi la Mwanamarundi
 
Unavyojibu ndugu yangu.! Utazani kuingia mbinguni ni kama kwenda kuliona kaburi la Mwanamarundi
Shida watu hawasomi neno la Mungu.
Watu wanasumbukia matumbo yao na tamaa zao 24/7
Hawampi Mungu hata lisaa limoja tu.

Ukweli ndio huo uzima tumepewa bure.

Naweza kukupa maandiko na kujibu maswali yako kama utakua na shaka lolote.
 
Kwanini maandiko unayotaka niamini ni hayo yakwako unayoamini wewe, kwanini huamini kama naamini maandiko yaliyotofauti na yako kutoka kwenye kitabu tofauti cha dini, unajua hata Kamasutra ni kitabu cha dini kinachoonesha staili za kufanya mapenzi! Kwa uoni wako Kamasutra is satanic why not your Bible.
 
Kwani imani yako wewe ni ipi ?

Unaamini katika sheria aliyotelemshiwa Mtume Muhammed ? Ama wewe ni athiest ?
 
Kwani imani yako wewe ni ipi ?

Unaamini katika sheria aliyotelemshiwa Mtume Muhammed ? Ama wewe ni athiest ?
Sio atheist! I believe in supreme being! Ila siamini mengi yanayoshinikizwa niamini, am training my mind to stand alone.
 
Sio atheist! I believe in supreme being! Ila siamini mengi yanayoshinikizwa niamini, am training my mind to stand alone.
Mwamuzi ni wewe, endelea na maisha yako..
Kwa kuitumikia ile tamaa ya mwili wako.

Na tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na hiyo dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti.
 
Ukienda RC na Lutheran huku tunabatiza WATOTO.

Tena baba wa ubatizo anakiri Iman kwa niaba ya kuchanga

Ukija TAG kuna Mambo ya kushangaza kwamba binti wa TAG hairuhusiwi kuolewa na mlutheri au mkatoliki au yeyote nje ya TAG

Ukija kwa mwamposa anakuuzia maji, kinyume na biblia

So Mambo magumu kwa kweli na michango makanisani Kama TAG na PEFA unaweza kujihisi mungu hatakimaskini kanisani
24 Yesu akawaambia, “Jitahidini kuingia kwa kupitia mlango mwembamba, kwa maana, nawaambia, wengi watajaribu kuingia lakini hawataweza. 25 Wakati mwenye nyumba atakapoondoka na kufunga mlango, mtasimama nje mkigonga mlango na kusema, ‘Bwana, utufungulie mlango.’ “Lakini yeye atawajibu, ‘Siwajua ninyi wala mtokako.’ 26 “Ndipo mtamjibu, ‘Tulikula na kunywa pamoja nawe, tena ulifundisha katika barabara zetu.’ 27 “Lakini Yeye atawajibu, ‘Siwajui ninyi wala mtokako. Ondokeni kwangu ninyi watenda maovu!’ 28 “Ndipo kutakuwako kilio na kusaga meno, mtakapomwona Abrahamu, Isaki na Yakobo na manabii wote wakiwa katika Ufalme wa Mungu, lakini ninyi mkiwa mmetupwa nje. 29 Watu watakuja kutoka mashariki na magharibi, kaskazini na kusini, nao wataketi kwenye sehemu walizoandaliwa karamuni katika Ufalme wa Mungu. 30 Tazama wako walio wa mwisho watakaokuwa wa kwanza, nao wa kwanza watakaokuwa wa mwisho.”
LUKA 13:24–13:30
 
Mleta mada naomba unijibu hili swali ujapopata wasaa...

Hivi hayo madhehebu uliyoyataja kama 'madhehebu kongwe', yalianzishwa na nani?

Yaliteremshwa toka mbinguni au yana mwanzilishi ambaye ni mwanadamu?
Kwani Mungu akimwambia binadamu fulani, fungua Kanisa/Ministry fulani.

Hapo wewe kwa mtizamo wako unaelewa hilo kanisa nila nani ?
 
Masanja huyu no bonge la msanii ni kijana anaeingalia pesa ilipo tu.masanja kuwa na kanisa haya ni maajabu mengine .kweli watu kwass tumekosa maarifa ya utambuzi.
 
Back
Top Bottom