Graphic Designing show off: Sokomoko Cartoon Transformation.

panamo

Member
Nov 25, 2016
64
58
Ya kwanza ni picha iliyochorwa kwa mkono kwenye karatasi, hii ni njia nzuri kwa wale wasiokuwa na drawing pad.
Na ya pili ni final out iliyofanyiwa full editing kwenye Photoshop

OfMXh73.jpg

lBUkhe1.jpg

Nakaribisha Maswali na maoni, pia ushauri kwa wanaojifunza Graphic Designing aina zote.
 
naomba tuitorial za kujfunza graf design
zipo channel youtube kama vile Adobe wenyewe wanayo yao inaitwa Adobe Photoshop Channel, ipo channel inaitwa Photoshopmama, ipo Iceflow, Tutor Vid n.k. baadhi tu hizi, unaweza pitia youtube uone ipi kati ya hizo itakufaa sana.
ila lengo ni lile lile Beginners to Advanced.
usikate tamaa
 
Mi naweza hivi kwa karatasi nipeni maujanja ya graphic sketchin wakuu
 
Attachments

  • 1481045666973.jpg
    1481045666973.jpg
    19.9 KB · Views: 87
Sina mkuu ila naamini am a super quick learner i will be more than grateful if u will assist me
Tafuta kwanza kitabu cha adobe kwa beginner, ujue content zilizpo na options, na tools katikaa ap then utaanzia hapo
 
Sina mkuu ila naamini am a super quick learner i will be more than grateful if u will assist me
Mkuu jifunze photoshop taratibu kila tool na matumizi yake, then baadae utachagua mwenyewe uwe unatumia sanasana tools za aina fulani.
kwasabu kila mtu anafanya graphics akiwa nalengo fulani, wekeza sana katika kujifunza japo waweza kuwa fast learner.
 
Ahsante mkuu ,pia kuna mtu anataka kuniuza drawing tablet CHT 480 wacom uturios vipi iko sawa hii?
 
Ahsante mkuu ,pia kuna mtu anataka kuniuza drawing tablet CHT 480 wacom uturios vipi iko sawa hii?
Kama unaweza kuchora haina tatizo maana inaweza kuwa rahisi kuchora kwenye drawing screen, ila kama hata aidea hauna itakuwa tatizo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom