House4Rent Je, unahitaji Nyumba ya Kupanga, Apartment ama Nyumba ya kununua? Karibu katika uzi huu

Iko Kibamba Mwisho (Hondogo) - 3Kms kutoka Morogoro road.

Pamepimwa na pana beacons.

Nyumba ni very Executive yenye vyumba vitatu, 2 Master bedrooms, AC, Heaters, Garden, Paving blocks.

Imezungushwa uzio wa kisasa unaowaka taa za kisasa usiku.

Ina mabanda yako kwa mbali kwa ajili ya kufuga.

Inafaa kwa ajili ya Petrol Station, Apartments, Garage, Mall, Shule, Ofisi za kisasa, hospitali, etc.

Ina nyaraka zote halali na sio mali ya kurithi.

Mawasiliano: 0717 650800

View attachment 2227922View attachment 2227923View attachment 2227924View attachment 2227926View attachment 2227927View attachment 2227928View attachment 2227929View attachment 2227931View attachment 2227932View attachment 2227933View attachment 2227934

Grand vila house, unadaiwa nabank fedha nyingi sana. Mkopo mmelipa? Nimeuliza Ili tuwasiliane na bank kulinunua kuliko kupitia kwa madalali.​

 

Grand vila house, unadaiwa nabank fedha nyingi sana. Mkopo mmelipa? Nimeuliza Ili tuwasiliane na bank kulinunua kuliko kupitia kwa madalali.​

Sikuelewi unazungumzia kitu gani? Kama huna lengo la kuharibu biashara yangu, hebu nipigie 0717 650800 tuzungumze
 
Kama zile za Kennedy's Compound kule Hyannis Port,Massachusetts Marekani,zimejengwa mwaka 1904 lakini still hadi leo hii zinaonekana kama za leo aisee.
Hata mm huwa sielewi wanafanya fanyaje aisee mpaka nyumba isichakae
 
Back
Top Bottom