wende
JF-Expert Member
- Sep 6, 2009
- 714
- 65
Salaam wana JF wote!
Nimekuwa nikitumia internet ya Modem ya Zain kwa kama miaka miwili sasa. Juzi nimeshangaa sana baada ya kugundua kuwa ktkt "My Computer" badala ya kuonyesha Zain-e-Go(D) sasa inaonyesha GP_by_SHAMIN(D)! Nikiunganisha internet basi kwenye ile window ya Zain-e-GO inaonyesha Grameenphone Internet or GP-Internet.
SWALI: Nini kimetokea ktk my modem na kubadili toka Zain-e-GO na kuwa GP-Internet? Je naweza ibadilisha hiyo kuwa zain?
Nawakilisha.