Graduation za watoto wa chekechea (Shule binafsi) ni aina nyingine ya upigaji

Bora wewe Mimi mke wangu mama p anadai eti tuwakodi tbc waje kumrekodi mwanangu kimbo anayemaliza chekechea huko St marry kwa kweli huu usawa wa haki wanawake wanauchukulia vibaya
kuwakodi tbc ili auze sura
 
Luna shule flan,
Jamaa kapelekwa pale ili aweze kurisiti mitahani

Sasa
Kapewa fomu imeandikwa laki moja kwa ajili ya michezo.
 
Peleka Saint Kayumba mkuu hamna usumbufu huo, mimi nina mmoja anasoma st. Kayumba(amekataa mwenyewe English medium) ila nina uhakika atakutana na wenzake kwenye corridors za vyuo vikuu.
Na tena atawapiga Kata funua..yeye anasoma bila kutumia nguvu
 
Back
Top Bottom