GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,524
- 108,800
YEREMIA 1:19Mwamba Ban imekwisha! Karibu sana uraiani mkuu.
YEREMIA 1:19Mwamba Ban imekwisha! Karibu sana uraiani mkuu.
hauwez kua serious mkuu,Mm ka last born kangu kanagraduate hyo chekechea nimetoa 100k na Bado naambiwa hela ya cheti Cha kumaliza elimu ya chekechea
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
kuwakodi tbc ili auze suraBora wewe Mimi mke wangu mama p anadai eti tuwakodi tbc waje kumrekodi mwanangu kimbo anayemaliza chekechea huko St marry kwa kweli huu usawa wa haki wanawake wanauchukulia vibaya
Na tena atawapiga Kata funua..yeye anasoma bila kutumia nguvuPeleka Saint Kayumba mkuu hamna usumbufu huo, mimi nina mmoja anasoma st. Kayumba(amekataa mwenyewe English medium) ila nina uhakika atakutana na wenzake kwenye corridors za vyuo vikuu.