Graduates wote mwaka 2019 pitia hapa, huu wito wangu kwenu (Online business & Tech hub idea).

October man

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Messages
1,550
Points
2,000
October man

October man

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2017
1,550 2,000
Salaaam wakuu

Natarajia kuhitimu mwezi ujao masomo yangu, kimsingi ndio tunaenda kuyaanza maisha harisi ya mtaani kwakulijua hilo namimi sikukaa kizembe kidogo nilijipanga kwa kufungua Biashara ndogo ambayo hadi sasaivi ina run hivyo natumaini nikiingia huko sikosi hata pesa ya kula na bando kidogo, kuna mtu mmoja namfuatilia maishani alisema.....“Hata uwe na ndogo kubwa kiasi gani kwanza hakikisha pesa ya siku ya kutimiza mahitaji ya msingi hukosi hii itakuondolea stress na kukufanya uwaze kwa mapana” | kimsingi mimi ni mtu ninaye amini katika Mult-source of income ndipo utajiri ulipo (Refer IPP GROUP, METL GROUP nk) na katika kutumia resource kabla zijakukimbia, Richa ya kuwa na Biashara hiyo ndogo sitaki nikirudi nyumbani niitegemee hiyo, kwa sasahivi Biashara zimekuwa ngumu kuanguka kwa Biashara njenje haswa ukiwa na mtaji wa kusuasua hasa sisi kutoka familia za Kimaskini...nimeliona hili kwenye Biashara yangu kuwa na Boom ndio kumeni-Boost kupata Backup ya kuirudisha mchezoni tena ilipofeli...kutokana na ugumu huu naingalia ONLINE BUSINESS kwa jicho la tatu.

Kuna aina nyingi ya Online business ila muda ulinibana wa masomo na hata resources sikuwa nazo sasa huu muda ambao namaliza masomo ndio muda sahihi wakuanza kuchanganua vile vyote nilivyoviweka pending....kuna Biashara inaitwa DROP SHIPPING niliiweka pending kitambo Nyuzi zake nyingi nilikuwa na zihifazi kwenye Email yangu na nina PDF yake moja aliyeiandaa mwana JF mmoja anaitwa Mkwanzania very infomative.

Wito wangu kwa Graduates tunaomaliza mwaka huu hapo mwezi ujao FOCUS yangu kuwa nataka nianzishe kitu kama TECH HUB/LAB ambayo tutakuwa tuna jishughulisha na Online Business as side hustle or main hustle ya kupata kipato huko mtaani, Tech Hub ni kitu maarufu na common sana nchi za uko USA especially Silicon Valley zinawatoa ma Developer mbalimbali nakuwa na kampuni kubwa kwa Tz mfano mzuri Smart Code...Katika hii Tech Hub nataka niunganishe tunaojifunza na majuvi wa Online business itakuwa physical na Online kwa Group za WhatsApp tukiwa serious zaidi tutakuwa na sehemu kama Smart Lab ya Smart Code pale.

Online business ninayotarajia kuanza nayo ni Drop shipping kwani haina risk kubwa, mtaji mkubwa ukilinganisha na business kama Forex nk na ina faida nzuri, sijasema rahisi.

Kwanini nimeandika hili sasahivi, ni muda sahihi ikiwa sisi tunamaliza masomo yetu na kwawanufaika wengi wa mikopo wamebakisha BOOM moja boom hili litumie ipasavyo kutafuta resources kama Laptop, Smartphone navinginevyo ambavyo vitafaa kwenye hii safari.

Binafsi napenda nikautumie vizuri Uhuru nitakao upata baada ya masomo kuelekea malengo yangu ya FINANCIAL FREEDOM na ninaamini Internet is most powerful area to reach there.

Naishi DSM itakuwa vizuri tukipatikana wengi wa DSM especially Mbagala ambapo mimi naishi tunaweza tukawa tuna meet naku-investigate mafanikio yetu, tutakuwa tunawatumia ma-Mentor mbalimbali wa eneo husika.

The way tutavyozidi kwenda ndio tutakuwa tunafanya vikubwa kwa kukuza mitaji na kujifunza vitu zaidi na zaidi.

Vitu tutavyojishughulisha navyo
1)Online Business
2)Programming
3)Teaching

Malengo : Kuja kuwa Technology Hub yakwanza kubwa na taasisi kubwa inayomiliki kampuni za kadhaa za technology na kutoka huduma.

Nawasilisha

Karibu By OCTOBER MAN

UPDATE................................

Nimewacheki ma-mentor kadhaa watusaidie kutu train as kwenye group, baadhi awako na accesses ya JF, nawasikilizia.

Mambo yakiwa fresh tutakuwa na group la WhatsApp na kuanza mchakato.
 
Ollachuga Oc

Ollachuga Oc

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Messages
6,355
Points
2,000
Ollachuga Oc

Ollachuga Oc

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2016
6,355 2,000
Forex iache kama ilivyo mkuu. Wengine tunajenga sasa kupitia hii business...
 
October man

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Messages
1,550
Points
2,000
October man

October man

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2017
1,550 2,000
Forex iache kama ilivyo mkuu. Wengine tunajenga sasa kupitia hii business...
Sijaisema Forex mkuu nimesema DS ni rahisi kulinganisha na FX kuanza nayo, mimi ni mmoja ninayeiyamini FX.
 
gbefa

gbefa

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Messages
3,475
Points
2,000
Age
24
gbefa

gbefa

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2016
3,475 2,000
Salaaam wakuu

Natarajia kuhitimu mwezi ujao masomo yangu, kimsingi ndio tunaenda kuyaanza maisha harisi ya mtaani kwakulijua hilo namimi sikukaa kizembe kidogo nilijipanga kwa kufungua Biashara ndogo ambayo hadi sasaivi ina run hivyo natumaini nikiingia huko sikosi hata pesa ya kula na bando kidogo, kuna mtu mmoja namfuatilia maishani alisema.....“Hata uwe na ndogo kubwa kiasi gani kwanza hakikisha pesa ya siku ya kutimiza mahitaji ya msingi hukosi hii itakuondolea stress na kukufanya uwaze kwa mapana” | kimsingi mimi ni mtu ninaye amini katika Mult-source of income ndipo utajiri ulipo (Refer IPP GROUP, METL GROUP nk) na katika kutumia resource kabla zijakukimbia, Richa ya kuwa na Biashara hiyo ndogo sitaki nikirudi nyumbani niitegemee hiyo, kwa sasahivi Biashara zimekuwa ngumu kuanguka kwa Biashara njenje haswa ukiwa na mtaji wa kusuasua hasa sisi kutoka familia za Kimaskini...nimeliona hili kwenye Biashara yangu kuwa na Boom ndio kumeni-Boost kupata Backup ya kuirudisha mchezoni tena ilipofeli...kutokana na ugumu huu naingalia ONLINE BUSINESS kwa jicho la tatu.

Kuna aina nyingi ya Online business ila muda ulinibana wa masomo na hata resources sikuwa nazo sasa huu muda ambao namaliza masomo ndio muda sahihi wakuanza kuchanganua vile vyote nilivyoviweka pending....kuna Biashara inaitwa DROP SHIPPING niliiweka pending kitambo Nyuzi zake nyingi nilikuwa na zihifazi kwenye Email yangu na nina PDF yake moja aliyeiandaa mwana JF mmoja anaitwa Mkwanzania very infomative.

Wito wangu kwa Graduates tunaomaliza mwaka huu hapo mwezi ujao FOCUS yangu kuwa nataka nianzishe kitu kama TECH HUB/LAB ambayo tutakuwa tuna jishughulisha na Online Business as side hustle or main hustle ya kupata kipato huko mtaani, Tech Hub ni kitu maarufu na common sana nchi za uko USA especially Silicon Valley zinawatoa ma Developer mbalimbali nakuwa na kampuni kubwa kwa Tz mfano mzuri Smart Code...Katika hii Tech Hub nataka niunganishe tunaojifunza na majuvi wa Online business itakuwa physical na Online kwa Group za WhatsApp tukiwa serious zaidi tutakuwa na sehemu kama Smart Lab ya Smart Code pale.

Online business ninayotarajia kuanza nayo ni Drop shipping kwani haina risk kubwa, mtaji mkubwa ukilinganisha na business kama Forex nk na ina faida nzuri, sijasema rahisi.

Kwanini nimeandika hili sasahivi, ni muda sahihi ikiwa sisi tunamaliza masomo yetu na kwawanufaika wengi wa mikopo wamebakisha BOOM moja boom hili litumie ipasavyo kutafuta resources kama Laptop, Smartphone navinginevyo ambavyo vitafaa kwenye hii safari.

Binafsi napenda nikautumie vizuri Uhuru nitakao upata baada ya masomo kuelekea malengo yangu ya FINANCIAL FREEDOM na ninaamini Internet is most powerful area to reach there.

Naishi DSM itakuwa vizuri tukipatikana wengi wa DSM especially Mbagala ambapo mimi naishi tunaweza tukawa tuna meet naku-investigate mafanikio yetu, tutakuwa tunawatumia ma-Mentor mbalimbali wa eneo husika.

The way tutavyozidi kwenda ndio tutakuwa tunafanya vikubwa kwa kukuza mitaji na kujifunza vitu zaidi na zaidi.

Vitu tutavyojishughulisha navyo
1)Online Business
2)Programming
3)Teaching

Malengo : Kuja kuwa Technology Hub yakwanza kubwa na taasisi kubwa inayomiliki kampuni za kadhaa za technology na kutoka huduma.

Nawasilisha

Karibu By OCTOBER MAN
Ni pm
 
monopoly inc

monopoly inc

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
1,309
Points
2,000
Age
49
monopoly inc

monopoly inc

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
1,309 2,000
Ndio maana kumbe we dogo still wakusoma
 
smigo4u

smigo4u

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2015
Messages
2,190
Points
2,000
smigo4u

smigo4u

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2015
2,190 2,000
Am in

M

Mentality Trevor

Member
Joined
Oct 30, 2018
Messages
5
Points
20
M

Mentality Trevor

Member
Joined Oct 30, 2018
5 20
Boss Nimevutiwa sanaa na Thread yako...maan inanihusu sana...ila mm mwanafunz wa mwaka wa kwanza..na nimeanza kufuatilia issue hzi za side hustle thru online platform kama drop shipping, forex na kadhalika ..i will be glad to join
 
L

Laki Si Pesa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2018
Messages
818
Points
1,000
L

Laki Si Pesa

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2018
818 1,000
nenden shamban mkalime mapori yapo mengi
 
October man

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Messages
1,550
Points
2,000
October man

October man

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2017
1,550 2,000
Nimekubali mkuu, nipe mtaji tafadhari.

Ifike muda usiwaze kwakutumia matako mtu mzima kama wewe vijana tunatafakari tutajikwamua vipi kukuza mitaji yetu na hustle zenye mtaji mdogo na risk wewe unakuja kuandika makalio hapa.

Subiri tupate mirejesho mkuu, tuone tutafanyaje, kuna kitu nakisuka Boss wait.
 
L

Laki Si Pesa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2018
Messages
818
Points
1,000
L

Laki Si Pesa

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2018
818 1,000
online business ni utapeli, hayo mambo waachieni wazungu na wahindi, sisi waafrika yetu ni kilimo shamban
 
mc gregor

mc gregor

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2017
Messages
421
Points
1,000
mc gregor

mc gregor

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2017
421 1,000
online business ni utapeli, hayo mambo waachieni wazungu na wahindi, sisi waafrika yetu ni kilimo shamban
We jamaa utakuwa choko tu. Unajua kuna waafrika wangapi wana pesa kupitia online businesses? Unajua hata maana ya drop shipping??.
Kaa kimya muda mwingine kuficha ujinga wako
 
October man

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Messages
1,550
Points
2,000
October man

October man

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2017
1,550 2,000
We jamaa utakuwa choko tu. Unajua kuna waafrika wangapi wana pesa kupitia online businesses? Unajua hata maana ya drop shipping??.
Kaa kimya muda mwingine kuficha ujinga wako
Ni shoga uyo, tunamuomba mtaji anaandika uchokochoko tu.
 
A

alumn

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2018
Messages
597
Points
1,000
A

alumn

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2018
597 1,000
Nimekubali mkuu, nipe mtaji tafadhari.

Ifike muda usiwaze kwakutumia matako mtu mzima kama wewe vijana tunatafakari tutajikwamua vipi kukuza mitaji yetu na hustle zenye mtaji mdogo na risk wewe unakuja kuandika makalio hapa.
Acha kejeli pengine huyo unaemwambia asiwaze kwa kutumia matako ni baba au kaka yako, ungetumia lugha nzuri ingedhuru nini?
 
Forum statistics

Threads 1,295,655
Members 498,337
Posts 31,218,562
Top