Graduates waliowahi kuishi Oysterbay na Masaki (au wanaoishi huko sasa tokea miaka ya nyuma) ni hazina kubwa ya taifa

cvb-1

Member
Dec 14, 2018
43
46
Graduates waliowahi kuishi Oysterbay na Masaki (au wanaoishi huko sasa tokea miaka ya nyuma) ni hazina kubwa ya taifa kwenye kipindi hichi cha ulimwengu wa utandawazi.

Wana human capital nzuri inayoweza kufanya kazi vizuri kwenye makampuni na taasisi mbali mbali za kitaifa na kimataifa.

Watoto wa hawa graduates ambao pia ni magraduates, pia ni hazina kubwa kwa taifa.

Hii ni kwa sababu wengi wa watu walioishi Oysterbay na Masaki tokea enzi za Nyerere walikuwa ni wale waliofaulu vizuri darasani.

Na pia walipata exposure nzuri ndani na nje ya nchi.

Watoto graduates wa hawa graduates (wa Oysterbay na Masaki) wameweza pia kujifunza mambo mbali mbali kutoka kwa wazazi wao.

Nashauri waajiriwe kwa wingi na kupewa nafasi nzuri nzuri. Tuwa support pia pale wanapojiajiri.

Hii pia ina apply kwa graduates wa maeneo kama Mikocheni.

Of course graduates hawa wa Oysterbay na Masaki wana mapungufu yao kama binadamu wengine.
 
Kimsingi wengi si waoga wana confidence.

Hawakupitia maisha ya inferiority complex ya kujiona daraja la chini au kuona kwamba wanaonewa kwa sababu ya hali yao duni.

Si lazima wote walifika ngazi za juu serikali au kwingine. Lakini kwa average hawaoni kigeni mjini.

Mtu aliona sinema za Jim Kerry, aliona Amithab Bacchan. Alienda outing kama Yatch Club, Dodoma Hotel, Mwanza yatch Club kimsingi ana uzoefu mjini.

Kuna mwingine ukimsimulia hayo wakati ndiyo maisha anakunja sura kana kwamba wewe ndiye ulitengeneza historia yake.

Tabu ni kwamba project za vijijini na ndiko kwenye kazi nyingi hawaziwezi. Wamekulia mjini.

Mfano neno kupunguza umasikini. Hawa umasikini hawaujui na wanausikia na hivyo hawafai katika eneo hili.

Sikutarajia topic kama hii. Ina ukweli lakini vumilia ukishambuliwa maana wengi walitoka madongo kwinama.
 
Graduates waliowahi kuishi Oysterbay na Masaki (au wanaoishi huko sasa tokea miaka ya nyuma) ni hazina kubwa ya taifa kwenye kipindi hichi cha ulimwengu wa utandawazi.
Wana human capital nzuri inayoweza kufanya kazi vizuri kwenye makampuni na taasisi mbali mbali za kitaifa na kimataifa.
Watoto wa hawa graduates ambao pia ni magraduates, pia ni hazina kubwa kwa taifa.
Hii ni kwa sababu wengi wa watu walioishi Oysterbay na Masaki tokea enzi za Nyerere walikuwa ni wale waliofaulu vizuri darasani.
Na pia walipata exposure nzuri ndani na nje ya nchi.
Watoto graduates wa hawa graduates (wa Oysterbay na Masaki) wameweza pia kujifunza mambo mbali mbali kutoka kwa wazazi wao.
Nashauri waajiriwe kwa wingi na kupewa nafasi nzuri nzuri. Tuwa support pia pale wanapojiajiri.
Hii pia ina apply kwa graduates wa maeneo kama Mikocheni.
Of course graduates hawa wa Oysterbay na Masaki wana mapungufu yao kama binadamu wengine.
Acha kujifungia kwenye boksi.Nani alikukaririsha kwamba hao tu ndiyo waelewa wa unachokifikiria?
 
Graduates waliowahi kuishi Oysterbay na Masaki (au wanaoishi huko sasa tokea miaka ya nyuma) ni hazina kubwa ya taifa kwenye kipindi hichi cha ulimwengu wa utandawazi.

Wana human capital nzuri inayoweza kufanya kazi vizuri kwenye makampuni na taasisi mbali mbali za kitaifa na kimataifa.

Watoto wa hawa graduates ambao pia ni magraduates, pia ni hazina kubwa kwa taifa.

Hii ni kwa sababu wengi wa watu walioishi Oysterbay na Masaki tokea enzi za Nyerere walikuwa ni wale waliofaulu vizuri darasani.

Na pia walipata exposure nzuri ndani na nje ya nchi.

Watoto graduates wa hawa graduates (wa Oysterbay na Masaki) wameweza pia kujifunza mambo mbali mbali kutoka kwa wazazi wao.

Nashauri waajiriwe kwa wingi na kupewa nafasi nzuri nzuri. Tuwa support pia pale wanapojiajiri.

Hii pia ina apply kwa graduates wa maeneo kama Mikocheni.

Of course graduates hawa wa Oysterbay na Masaki wana mapungufu yao kama binadamu wengine.
Mi Imani zaidi kuliko uhalisia.... AKINA LEMUTUZ wanaifanya Imani hii ionekane kinadhalia zaidi
 
Back
Top Bottom