Uncle john
Member
- Oct 22, 2012
- 51
- 13
Gharama za maisha kila cku zinapanda m2 anaona kuliko aanze kufikiria mara atakula nini, mara hajasafisha choo, mara luku inaisha at midnight na mengne mengi anaona bora 2 akae nyumbni ambapo hatozwi chochote, nadhan hyo ndo sababu kubwa, kujtegemea co vu uzima au ndo umekua coz kuna watoto wapo o level wanajtegemea, kwahyo ni katika 2 kutaka kupumguza ukali wa maisha
yaani huo ni uvivu wa akili, halafu wanawake wanaongoza kwa kukomalia homu. Choo unataka akusafishie nani? Ndio utajua maisha yakoje. Nikuendeleza utoto uzeeni. Na wengine wanazalia hapohapo home. Familia ndani ya familia?