Graduates wa kisasa kukaa home.. Kodi gharama au allergy ya kujitegemea? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Graduates wa kisasa kukaa home.. Kodi gharama au allergy ya kujitegemea?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MKATA KIU, Oct 22, 2012.

 1. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Dah wadau hebu mnisaidie

  Hivi hii inakuaje kodi gharama sana au ? Maana nafanya kazi kwenye kampuni moja ya ukaguzi ( big 4 ) ambayo inapenda sana kuajiri vijana straight from schools.. Sasa kinachonishangaza karibu wote ambao nyumbani kwao ni hapa dar wanatokea home as kila mtu ukimuuliza inakuaje anakwambia nihame ili iweje na chumba changu home nimwachie nani ? Nilijua ni intake yetu tu as mi niliingia 2010 but hata hao walio na miaka kazaa kazini bado wanakaa home... Hivi hii inakuaje? Watoto wa mjini naombeni mnisaidie mbona hampendi kuondoka nyumbani hata mkianza kazi ni alleargy ya kujitemea au? Mbona magari mnanua tena tena kila baada ya miezi mnabadilisha magari lakini kuhama home hamtaki?
   
 2. z

  zodiac Senior Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We kamaumetokea porini shauri yako! Cha kukimbilia maisha nini? Yanimshahara mdogo ndiyo ujibane kuhamia Sinza kwenye chumba kimoja gari unalaza CCM wakati dingi kajenga nyumba mbezinahakuna anayekaa!

  We hujui raha ya kupata wazazi waliowekeza kwa ajili ya vijana wao mazee, we endelea kujibana Sinza wenzio hata siku ya kuoa baba anampatia nyumba ya Upanga, kijana akishaoa hana pressure anasubiri kununua shares ana kuinvest pesa yake sio kujenga vibanda kimara mara sijui chanika, pugu!
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kama ulitokea shamba ukabahatika kupata nafasi kaa kimya! usije jikuta unafanya ukaguzi kwenye shamba la kabeji
   
 4. p

  pretty n JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Gharama za maisha kila cku zinapanda m2 anaona kuliko aanze kufikiria mara atakula nini, mara hajasafisha choo, mara luku inaisha at midnight na mengne mengi anaona bora 2 akae nyumbni ambapo hatozwi chochote, nadhan hyo ndo sababu kubwa, kujtegemea co vu uzima au ndo umekua coz kuna watoto wapo o level wanajtegemea, kwahyo ni katika 2 kutaka kupumguza ukali wa maisha
   
 5. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Duh, navyoshambuliwa na watoto wa mjini.. Yaelekea kuhama nyumbani ni mwiko hata kama unalipwa mshahara mamilion... Tunaotoka mpera mpera mbona tunakoma
   
 6. W

  Wajad JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,123
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  Kujibeba mchezo?!!!!!
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  kwa nini akapange wakati nyumba ipo?
  Hiyo hela ya kulipa kodi si heri anunue kiwanja?
  Wakati wewe unaona sifa kumpa hela mwenyenyumba mwenzio ananunua mifuko ya cement.....mjini mipango
   
 8. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapo umemaliza kila kitu..Sitii neno hapo.
   
 9. Titans

  Titans JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 867
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 180
  mwingine ana kaa home ili aweze kujenga pia..si unajua nyumba za kupanga siku hizi??tene kama una gf ndo anakushauri ukakae sinza ama kino...atakwambia upange vyumba vitatu per month laki 2 na ukope ALTEZZA...si bora nikae mbagala kwa mama huku napandisha kozi kwenye kiwanja changu??ila mipango tu kaka.
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  je kwa wale tunaokula raha huku tunasubiri dingi adondoke ili tujiachie vizuri itakuwaje maana kujenga sio mchezo kama kiwanja 10 milion sijui kama ntaweza sijui...
   
 11. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  He he he, watoto wa mjini mna vituko.. Dah kwa hiyo hata mchuchu anakuja kumegwa kwa mama hapo hapo au?
   
 12. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Sasa na mama/ baba nae angekuwa na mawazo kama yako nae angekaa kwa mama yake ingekuwaje? Hapo mbagala pa kukomaa kukaa angejenga nani?
   
 13. z

  zodiac Senior Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajua kuna nyumba zimejigawa in such a way mzazi na kijana wake hawaingiliani, kwa mfano nyumba unakuta ina servany quarter ambayo inajitegemea sasa mmeshakuwa na hakuna wa kukaa hapo we unadhani itakuwa busara kwenda kupanga ukalipe the same style ya nyumba laki tatu hadi nne?

  Nenda mbezi uone nyumba zilivyo gharama, unakuta kajumba ka vyumba viwili na sebule choo na parking unaambiwa laki nne! Piga kwa mwaka na ongeza gharama nyingine hapo, haki ya nani waweza jikuta hata VITZ ya mkopo hununui, na kumbuka gari sasa hivi sio anasa ni kitendea kazi. So jaribu kulinganisha utaelewa. Kama huna we jitahidi upange tu lakini kwa nini uache nyumba inakaliwa na panya na mende then wewe unajikweza kwenda kupanga kisa eti demu wako apate privacy? Privacy ipi zaidi? Pale kwetu atakaa tena hata huyo mama hataonana naye maana kila mtu anamuda wake inategemea kama mama yako ni mswahili kiasi ya kukuhesabia who is entering at your house, wakati ushakuwa mtu mzima.

  Ukishakuwa unapewa funguo ya geti na kuanzia siku hiyo hakuna wa kuuliza umerudi saa ngapi just ukimisbehave ndipo utasemwa na hiyo ni kawaida kwani hata ukipanga bado kuna mama mwenye nyumba kwani naye hautamuheshimu kama unavyomuheshimu mama yako? Nadhani hapa cha msingi ni kufahamu kuwa, hata kama una kazi nzuri nk kama una chance ya kuzichanga pesa zaidi kwa kuokoa gharama fulani you better do that la sivyo waweza jikuta unaanza kujenga nyumba yako na miradi wakati una miaka hamsini. Kibaya ni mtu kupata bahati ya kukaa kwao akiwa na kazi halafu asifanye chochote cha maana, though inategemea kitu cha maana ni kipi? Unakuta ushajengewa nyumba, umekua then mzee anakuambia ukae hapo lipa umeme na maji na kodi ya kiwanja, sasa uende wapi? Kama hukupata bahati hiyo usilalamike ni maisha tu, wengine wamezaliwa wachache kwao unakuta wapo wawili tu na kuna nyumba nne then akapange? Au unakuta ndiye mtoto wa pekee then aende wapi na mali walishatafuta wazee? We kilichobaki ni kuangalia masters, PHD, uoe, upeleke watoo ulaya kusoma that's all.

  Sijui kama umenipata mkuu.
   
 14. Titans

  Titans JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 867
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 180
  mind you nami mwanangu nadhani atakaa kwangu hata akimaliza chuo na kupata kazi ilhali afanye mambo ya msingi tu akiwa kwangu.wewe umepanga nini??na gari ya mkopo pembeni,,huku gf anakushauri umuoe faster ili atag picha facebook kwa rafikize??kaka mjini maarifa bana.
   
 15. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Mwanangu kama unaniona vile, yaani nina kidemu changu kinavyofosi harusi kisa wenzake wanaolewa wakati mdau maisha hayajasimama... Sema kweli wenye bahati zenu maana hizi kodi za sinza zinatuchanganya kweli wenzenu,,
   
 16. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Dada/kaka sasa na ujana huu girlfriends wanavyobadilika badilika si hata b mkubwa atakuona muhuni, yaani waje home kila siku madogo wanatambulishwa wifi mpya.. si balaa hilo
   
 17. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  sasa mtu alikua chuoni anasoma amemaliza chuo we unataka akodi hiyo hela atatoa wapi? waacheni kwanza wajipange...nyumba zenyewe hizi kodi wanataka ya mwaka mzima...sa graduate hiyo hela utatoa wapi...apo ulipe kodi mwaka mzima bado luku, usafiri, maji, chakula....its not easy
   
 18. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Kuhama home sio lazima na hakuko powered na sheria yoyote, whether social, natural or contitutional, kwa hiyo hatulazimiki kuhama. Hatuna sababu yoyote ya msingi, tumejikuta tuko home tu miaka yote hii.
  Tunajua nyie wakuja mlipopata nafasi ya kuja Mjini kusoma ndio mkajenga kibanda kabisa huko Savei na Changanyikeni, home kwenu mwaenda kwa msimu.
  No place like home bwana...
   
 19. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mhh, hapa naona majigambo tu
   
 20. Uncle john

  Uncle john Member

  #20
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na baba yako angekuwa na msimano kama wako sijui ungekua wapi?
   
Loading...