Graduates wa IFM ni wazuri sana kazini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Graduates wa IFM ni wazuri sana kazini

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mlimbwende, Oct 24, 2011.

 1. m

  mlimbwende Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nimekua nikiajiri graduates kutoka vyuo mbalimbali kwa muda sasa. Navutiwa na utendaji kazi wa graduates wa IFM. Je kwanini hicho chuo akipandishwi kuwa university?
   
 2. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha kujipigia debe we ndugu....Kuwa best kazini mbona haviendani na kuwa university? Kwani university huwa inatoa watu bora siku zote? Hamna relation hapo wala nini...Ukisikia upupu ndio huo.
   
 3. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Baadae saaaana,kwa sasa hakiwezi kupata hiyo nafasi mpaka kiwe accrediated na sidhani kama kuna foreign hata mmoja anaye soma pale ifm,kuhusu utendaji kazi labda una sababu zako binafsi lakini hata vyuo kama mzumbe,iaa,cbe,udsm,muccobs na udom kwa course hizo za biashara mbona sio wabaya.Basi na iaa wapigie debe nao wawezeshwe kiwe university.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Hamna lolote hapo,we sema ni 1st yr unataka kujua ubora wa hapo Ifm kiujanja.
   
 5. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hahahaha mpe moyo mkuu
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Hehe naona umewagusa siko wana wa Mlimani.
   
 7. Mpiga Nyoka

  Mpiga Nyoka JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Huo ndio ukweli IFM imekuwa ikitoa graduates wazuri wanaobisha hawajui kitu kuhusu soko la ajira. Ila haiwezi kuwa university mpaka iwe na campus,na kwa habari niliyonayo ni kwamba wanataka kujenga chuo huko msata.
   
 8. MAHENDEKA

  MAHENDEKA JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 9, 2010
  Messages: 257
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Naona umeamua kuingia kazini mwenyewe kukipigia promo..Ushafanya uchunguzi asilimia kubwa ya wakufunzi hapa IFM wametoka wapi au vyuo vipi?
   
 9. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,377
  Trophy Points: 280
  Acha kutudanganya wewe.... Hamna kitu huko IFM, matozi tu hao...usharobaro umewajaa. Unawapigia promo nini?
   
 10. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  University ni jina tu, halina uhusiano na ubora wa wanafunzi.

  Japo siaamini unachosema, wala sijakuelewa. Ni wazuri nyanja gani?.

  Hebu tueleze wewe unahusika na mambo gani unakuwa na uwezo wa kuajiri product za IFM wengi.
   
 11. l

  luckman JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Ifm graduatese are really good, mi sijasoma pale ila nafanya nao kazi, wanajua wanafanya nini, ltusipinge kila kitu, lets give them credit, they deserve it!
   
 12. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  we nae walewale tu,graduates wa maana hapa bongo wanatoka udsm,sua,ardhi na muhimbili,huko kwingne wanatoka makanjanja tu.
   
 13. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  hivi mnapata wapi? Hizo data mnajua ubora wa elimu unapimwaje?.hao wng ni watalii.na makosa si yao ni sera ya elimu na mitaala ya tz
   
 14. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  IFM graduates wake wamezaji wa mambo ila hawana upeo wa kuchambua mambo na ndio maana hata siku moja hawashiriki katika midahalo inayoigusa jamii,Ni taasisi inayojitutumua kwa kuongoza kudahili wanafunzi ila elimu yao haikidhi,Na hili linatokana na kuajiri waadhili wasio na uzoefu wala tafiti zozote zaidi ya kuwapa washkaji tu waliopata upper second jukumu la kupika shahada za hao wakufunzi,Kwa hali hii usitegemee muhitimu ku-compete freely and equally na wahitimu wa vyuo vingine.
   
 15. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 160
  mleta thread na wanaoendekeza ubishi wa aina hii wote ni wanafunzi, mkiingia mtaani huu ujinga wenu mtaacha
   
 16. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Ifm si chuo cha wasanii kile?
   
 17. Blessingme

  Blessingme JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Da hv kila m2 akianza kusifia chuo chake c kutakuwa na thread zaid ya 40 hapa, bt tuangalie watu binafsi na si chuo. Wanapoajiri hawaangalii chuo ila competent ya mtu. Tuache malumbano ya vyuo bana 2liomaliza vyuo ndo 2nafahamu mtaani kukoje
   
 18. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Watu hawaangalii chuo,bali ufanisi wako ndio unakufanya wewe uonekane bora na siyo chuo.
   
 19. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Tunalo jamaa moja hapa kwetu ni alikuja kama mhasibu kufanya recon tu hawezi uwiiiiii ikabidi awe receptionist!
   
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Kunanukia U-promo.... Hata hivo inategemea na kozi... IFM inatoa graduates wazuri saana katika baaadhi ya kozi....
   
Loading...