Graduates: Maeneo/Miji ndani ya Tanzania ambayo unaweza kuanza maisha baada ya kumaliza chuo na ukifanikiwa

Hili wazo nimeliewa mkuu...maana nimemaliza diploma ya pharmacy nasota kupata hata pakujitolea nipate ujuzi eti mtu hakuamini anaona utamwibia dawa zake!

Je gharama za maisha huko zikoje?hawana ubaguzi kwa wafanyabiashara wageni au ambao sio wazawa?
Hebu nitafute mkuu yuyajenge, njoo inbox
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Kuna nyimbo ya 20% inaitwa MAISHA YA BONGO.

Pia kuna wimbo wa bwana misosi inaitwa NITOKE VIPI

Hizi nyimbo Kuna best angu alikua anapenda Sana kuzisikiliza.......

Ukizisikiliza word by word Zina click Sana....

Nataka kusema ukitaka kujibust fasta fasta kimaisha hapo fuata point No 4.

Utakuja nishukuru hapa siku mojaa
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Back
Top Bottom