Du hi ni hatari!. ..
Hebu nitafute mkuu yuyajenge, njoo inboxHili wazo nimeliewa mkuu...maana nimemaliza diploma ya pharmacy nasota kupata hata pakujitolea nipate ujuzi eti mtu hakuamini anaona utamwibia dawa zake!
Je gharama za maisha huko zikoje?hawana ubaguzi kwa wafanyabiashara wageni au ambao sio wazawa?