ALLY MWINYI
Member
- Aug 10, 2019
- 19
- 18
Sema mnaocomment ingekuwa vema mngetaja na kozi mlizosoma
B.Sc Computer ScienceSema mnaocomment ingekuwa vema mngetaja na kozi mlizosoma
Hii coarse kitaa wengi wao wana ban CD vipi wewe hauban CDB.Sc Computer Science
Wewe acha tu nduguHii coarse kitaa wengi wao wana ban CD vipi wewe hauban CD
Umesahau na vikwazo vya serikaliUnajua Tanzania tuna changamoto nyingi saana, sio wabunifu, mitaji, masoko yote hayo yanatutatiza
Sekta binafsi ndio tibaMtaani pagumu sana aisee! Yani nikijilinganisha na wenzangu walioishia form four wao wamepiga hatua kubwa sana!
Kingine na kikubwa ni kwamba CONNECTION ZIMEZIDI KWENYE AJIRA, mkombozi aliyebakia Kwa tusio na connection ni SEKRETARIETI YA AJIRA 'UTUMISHI '
Mimi hata cheti nimekizira SUA toka 2017 ntakichukua siku nikiona kina manufaa nakomaa na mishemishe za kitaa tu
Wapi ndugu, tulioifungua kila mtu anamishe zake, mwingine Zenji mwingine Kilimanjaro mwingine Songea yaani taflaniUmefanikiwa!?
Bora sheria, ukimaliza nenda law school. Kama unataka kuwa maskini na kibaraka wa wanasiasa kasome elimu.Nime chaguliwa
LAW tumain university Arusha
LAW Kampala international university
BAED st augustine uni Arusha
tushauriane apa sheria au chaki
...............Hatari sana man!!!mtaani show yake siyo ya kitoto watoto wanaleta masihara.Huku kitaa maisha tough siyo simple simple kabisa wanaume feki wameshaolewa
Be positive mkuu usitumie njia yako uliyo pitia kujudge njia za wengine kama wewe ume hustle kitaa ni wewe mkuu pambana na hali yako hahah
Jipe moyo
Bora sheria, ukimaliza nenda law school. Kama unataka kuwa maskini na kibaraka wa wanasiasa kasome elimu.
Mambo hayatabirikiNime chaguliwa
LAW tumain university Arusha
LAW Kampala international university
BAED st augustine uni Arusha
tushauriane apa sheria au chaki
Nime chaguliwa
LAW tumain university Arusha
LAW Kampala international university
BAED st augustine uni Arusha
tushauriane apa sheria au chaki
umenichekesha Sana aisee hata mm ilinikuta hyo hali.hahahhaaaaa nakumbuka wkt nipo CoET tulikua tunadanganyana et tukimaliza kazi zinatusubiri......
basi tukawa tunaambizana gari ya engineers ni surf, yan tukitoka hapo tunawaza kwenda kupata ajira take home 1.5 ndio minimum
tunawaza kwenda kuwa maboss,,,,,,,,,, aisee ajira ya kwanza nikalipwa hata laki 5 haifiki kazi nafanya za std 7