"Graduates" karibuni sana mtaani

Unataka usipate stress, baada ya kumaliza chuo? Basi andaa malengo yako even before hujachagua kozi ya kusomea!
Hapa sasa umeongea.. kuna kazi ambazo nje ya ofisi hauajiriki hivyo,mtaa ni lazma uwe mgumu mara mbili na kingine

Malengo yanatakiwa yaanze kabla ya kuchagua chuo na uhakikishe chuoni unaenda kuanzisha na si kula maisha... kwa kiasi fulani hii inasaidia maana hata ukitoka chuoni ni aidha una connections, biashara ama una pa kuanzia..
 
Unajua Tanzania tuna changamoto nyingi sana, sio wabunifu, mitaji, masoko yote hayo yanatutatiza
 
Usomi siku hizi sio kwa ajili ya ajira wala maisha mazuri tofauti na miaka ya nyuma

Lakini cha ajabu unakuta mtaani kijana aliyeishia darasa la saba anamaendelea makubwa kuliko rafiki yake aluyeendelea na Shule mpaka akafanikiwa kuhitimu elimu ya chuo
 
Siwatishi nimewaeleza ukweli, mwaka 2011, tulipograduate tulipanga kufungua NGO's tujiajiri, tukaanza kujipa vyeo Sijui CEO, sijui Marketing Manager asee usipime
NGO'S NI hatua kubwa sana.Vijana mnasajili jina la bishara brela kwa 25000,mnatengeneza site kwa 75000,manjihusisha na biashara labda ya kuuza kuku wa nyama na ayai kwenye mahoteli.Mnaingia kazini kimya kimya
 
Ni wazo zuri sana, lakn vijana masharobaro hawawezi kukubali kufanya kazi hiyo
 
Vijana ukweli ni kuwa soko la ajira ni gumu sana inabidi muwe tayari na kupitia kipindi kigumu. Mimi nakumbuka nilipata sehemu ya kujishikiza nalipwa elf 40 kwa wiki mwaka 2008 sasa fikiria nauli,kula,nilipie umeme na maji geto...halafu nyumba niliyokuwa nmepanga kuna panya wanakula mpk sox huachi chakula wasipite nacho.

Nilikuwa nanunua ile mikate mikubwa kubana matumizi ikabidi nifunge kamba ndani kama naanika nguo vile lkn natundika mkate ili panya wasiule. Leo hii mtu akiona tumetoka kimaisha anaona labda njia ilikuwa rahisi.

Muwe wavumilivu tu mambo yatajipa taratibu mpk itafika muda bank zinakufuata zenyewe zikukopeshe
You made my day brighter
 
Siwatishi nimewaeleza ukweli, mwaka 2011, tulipograduate tulipanga kufungua NGO's tujiajiri, tukaanza kujipa vyeo Sijui CEO, sijui Marketing Manager asee usipime
Mkuu hebu nipe story, vipi mlifanikiwa kuiendeleza hiyo NGO's au ilifia njiani? Maana kuna yetu tumeanzisha ila sijui kama tutapiga hatu ukilinganisha na awamu iliyopo madarakani tuna loose hope kabisa
 
Sio rahisi mkuu, fikiria hatuna experience, hatuna connection, hatuna capital. But theoretically we were good
 
Back
Top Bottom