Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 5,881
- 19,190
Hapa sasa umeongea.. kuna kazi ambazo nje ya ofisi hauajiriki hivyo,mtaa ni lazma uwe mgumu mara mbili na kingineUnataka usipate stress, baada ya kumaliza chuo? Basi andaa malengo yako even before hujachagua kozi ya kusomea!
Malengo yanatakiwa yaanze kabla ya kuchagua chuo na uhakikishe chuoni unaenda kuanzisha na si kula maisha... kwa kiasi fulani hii inasaidia maana hata ukitoka chuoni ni aidha una connections, biashara ama una pa kuanzia..