el_magnefico
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 488
- 570
wiseman734, Hili ulilosema nimelishuhudia baada ya kuhitimu,nilikaa benchi miaka mitatu na kuna watu walinambia ni michache nashukuru Mungu maisha yanaanza kuelekea pazuri sasa.Cha msingi ni kutafuta fursa(ya halali)na kuishughulia kwani hata mimi nilishawahi kufanya kazi ya elfu 5000 kwa siku.Wasikate tamaa na vishawishi vipo vingi mitaani.