Graduate tuungane tutengeneze fursa

Nina idea tofauti nafikiri tukikutana tunaweza kupeana uzoefu
What's up group lipo tayari wenye nia ya kufanya kitu kwa pamoja, nichekini what's 0762781778 haijalishi umehitimu lini,
Nina idea tofauti nafikiri tukikutana tunaweza kupeana uzoefu
bro!kwakuwa yaonesha wengi tunania ya kweli!nadhani kabla wadau hawajakutana tuanzeni kutengeneza jina litakalotutambulisha kwa umoja wetu then tulikubali kisha tutapeana majukumu kwa wale watakaojitolea, tuanze kutengeneza kaproposal ka namna flani hivi ili iwe rahisi hata tukikutana tunakuwa na uelewa wa wapi tunaelekea,wasomi tupo wengi haijalishi fani gani proposal idea wengi tunaelewa.Naamini tukijipanga vizuri zipo taasisi nyingi za kibinafsi na serikali zitatuelewa.kama kawaida mawazo yenu yanahitajika
ahsanteni.
 
kweli that's why nimeandaa what's up group ili hayo yote yafanyike huko, tayari ni mikakati huwezi kuiweka yote wazi,Nitumie namba yako nikuunge
 
Andika kama graduates basi mkuu! Mnakosa saana discipline kwenye mambo madogo madogo mkiamini hayana madhara kwenu lakini niamini yaweza kuwa kuna CEO mkubwa ana capital na anahitaji watu makini wa kufanya nao kazi kwa maandishi yako tu unaweza ng'amua kitu na kukutafuta kwa hatua zaidi.

Ndio maana sisi tulioishia la saba B na form four art 1, tunawatoa nishai kimkwanja nyie graduates.
Kosa liko wapi hapo?
 
Wazo zuri sanaaaa. Ila kuwa pamoja huku ni katika suala gani zaidi? Kwa haraka kuna mami mengi kama vijana kwa kutumia nguvu, akili, ufanisi, na kujitoa tukaweza fanya mambo mazuri.

Mfano: Kulima kilimo kikubwa kitakachofanywa kwa research na maandalizi kama watu wenye malengo ya kujikwamua.

Kampuni ya ufyatuaji matofali hasa katika maeneo ambayo miji inakuwa na kuweza kuuza matofali pamoja na vitu vingine vya ujenzi.

Kukata mkaa na kuleta mjini. Na fursa nyinginezo lukuki.
Nami ningependa jiunga na crusade hii maana ukiachilia mbali uhitimu wangu wa chuo najiona nina uwezo wa kufanya mambo mengine mbali na kuendelea kutafuta ajira kila kukicha.
 
Back
Top Bottom