Grace Matata-Official Song Utanifaa

Huyu demu hajanza Leo na hii ndo style yke toka mwanzo maybe Vanessa ndo anatembelea nyuz sake.KAZ nzur
 
Wimbo mzuri sana,ila bado haufikii free soul.
Ule wimbo ni habari nyingine bwana.
Free soul ni noma ule wimbo ni balaa.
Ushasikia nyakati za mashaka acha original version ya grace ule aliourudia nikki mbishi grace akaimba chorus
 
Free soul ni noma ule wimbo ni balaa.
Ushasikia nyakati za mashaka acha original version ya grace ule aliourudia nikki mbishi grace akaimba chorus
Mkuu hapa nataka niingie YouTube nikajikumbushie,free soul ni noma.

Huo nitaucheki pia...
 
Huyu mdada ni mkali sana!! Pengine hata kuliko Mondi

Anaimba hadi unaweza kulia



1e20fd6a155a17b04f6cbff6edcac6e8.jpg
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom