Heko dada! Gitaa lako limenifanya nimkumbuke sana Pauline Zongo.Pamoja na hizo pongezi ongeza voice range yako ili uzikamate vema low na high notes staili ya vanessa mdee.
Anajua sana sema wadau ndio waua vipaji,wanapanga MTU wa kutrend kwenye game
Free soul ni noma ule wimbo ni balaa.Wimbo mzuri sana,ila bado haufikii free soul.
Ule wimbo ni habari nyingine bwana.
Mkuu hapa nataka niingie YouTube nikajikumbushie,free soul ni noma.Free soul ni noma ule wimbo ni balaa.
Ushasikia nyakati za mashaka acha original version ya grace ule aliourudia nikki mbishi grace akaimba chorus
Huyu mdada ni mkali sana!! Pengine hata kuliko Mondi
Anaimba hadi unaweza kulia
Huyu mdada ni mkali sana!! Pengine hata kuliko Mondi
Anaimba hadi unaweza kulia