Grace Matata karudi na zile nyimbo zake za hisia

Sunbae

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
254
176
Baada ya kuwa kimya kwa muda huku akifanya show maeneo tofauto tofauti hatimaye Grace Matata wengi wamezoea kumuita "Guitar Girl" amerudi rasmi kwenye game kwa kuachia video na ana mpango wa kufanya show Jumamosi hii.



1200 x 900 1.jpg


Kwenye page yake ya Instagram Grace Matata (@gracematata) • Instagram photos and videos naona anagawa tiketi za bure za show yake.
 
Back
Top Bottom