GPS Car tracking devices kwa ulinzi wa Gari, Bajaji na Pikipiki yako

Tunafunga Gps car tracking system kwa siri ili kuzingatia ulinzi na kujua mwenendo wa gari , bajaji, pikipiki yako kwa bei nafuu.
Tupo Dar Es Salaam na pia kwa mikoani tuna mawakala wetu.

Kuona speed
Kuona Sehem gari/bajaji/pikipiki yako ilipo
Kuizima na kuiwasha
Kujua routes
Kuipigia sim na kupigiwa sim
Geo fance
Engine status etc.

Pia tunafunga kujua mwenendo wa mafuta

Piga 0766003375
 
Tumeingiza mzigo mpya..
Hizi ni devices zenye uwezo mkubwa wakukupa taarifa za unit yako na kulilinda kwa kutumia simu yako.

Kuona speed
Kuona Sehem gari/pikipiki yako ilipo
Kuizima na kuiwasha
Kujua routes
Kuipigia sim na kupigiwa sim
Geo fance
Engine status etc.

Pia tunafunga kujua mwenendo wa mafuta.

Mfn. Kujua kiasi cha:-
Mafuta yaliyowekwa ktk tank.
Mafuta yaliyotumika sahihi.
Na mafuta yaliyoibiwa endapo kukawa kunawizi uliofanyika.

Tupo Dar es Salama
Dodoma
Sim 0717267636
shukran kw tangazo ila umechelewa kwa upande wang kunaambacho nimesha kifunga kwenye gari yang kipo vizuri baada yakumaliza kulipia kuna garama ndogo yakila mwezi. So usikate tamaa biashara n matangazo na kuboresh ni kitu ch muhimu
 
shukran kw tangazo ila umechelewa kwa upande wang kunaambacho nimesha kifunga kwenye gari yang kipo vizuri baada yakumaliza kulipia kuna garama ndogo yakila mwezi. So usikate tamaa biashara n matangazo na kuboresh ni kitu ch muhimu
Mimi sina makato yawiki, mwezi wala mwaka. Ukushafunga Kwa laki 2.5 yako. Hiyo ni maisha ( life time.)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom