GPA ya 3.0 kupata scholarship

WAR

Member
Dec 16, 2016
49
36
Nawezaje kupata scholarship kwa GPA ya 3.0 kwa Masters ya public health
 
Nawezaje kupata scholarship kwa GPA ya 3.0

Scholarship haziangalii sana GPA hasa kama unatafuta za kwenda nje. Tafuta admission kwanza then scholarship utapata on merit ikiwa una vigezo vingine vizuri.

Kuna vigezo hatuvipi vipaumbele ila ni vya msingi mathalani mambo kama;
1. Shughuli za kijamii
2. Vipaji vyako kama mchezaji hodari n.k
3. Maksi nyinginezo kama unaenda nje pengine utahitajika kufanya tests mbali mbali
4. Ubora wa maandiko yako
5. Etc
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom