Utaratibu ulipo wa vyuo vikuu kuajiri wahadhiri kwa vigezo vya GPA ya 3.5au3.8 ni hatari sana kwa ustawi wa elimu nchini.
Utaratibu wa upatikanaji wa GPA kttk vyuo vikuu niwakutiliwa shaka lenye maana.
Kila chuo kina grading yake. Anayetoa marks ni mtu moja(mtunga na msahihisha mtihani).
Baadhi ya vyuo mhadhiri hupata zawadi kama ametoa "A" nyingi. Pia baadhi ya vyuo wahadhiri hutoa marks kubwa kwa kila mwanafunzi ili kulinda AJIRA ZAO, kwasababu wanafunzi watampenda na kumwita "mhadhiri huyu poa". Hana noma.
Hakutakuwa na malalamiko yoyote dhidi yake hata kama anafundisha hovyo. Hivyo utaratibu wa kuajili kwa kigezo cha GPA haufai, ni uwongo mtupu. Ni utaratibu wa hovyo kabisa. Interview na vipimo vingine ndio viamue.