Govt plays at use of national TV by business tycoon | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Govt plays at use of national TV by business tycoon

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, May 12, 2009.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,622
  Likes Received: 82,219
  Trophy Points: 280
  Govt plays at use of national TV by business tycoon

  THIDAY REPORTER
  Dar es Salaam

  IT remains a puzzle why the government recently let a prominent businessman use the state-owned television, TBC, to air personal views about corruption allegations against him.

  The Deputy Minister for Information, Culture and Sports, Joel Bendera, yesterday dodged questions from journalists seeking official explanation why Rostam Aziz had a special programme to air a personal position on the public-funded television.

  Instead of explaining the issue, the minister directed journalists to take their queries to the TBC management.

  The ministry had convened the press conference specifically to put a damper on what has been described as a ’media war’ between Aziz, who is also Member of Parliament for Igunga Constituency in Tabora Region, and IPP Limited Executive Chairman Reginald Mengi.

  Reading a statement on behalf of his minister, George Mkuchika, Bendera accused the two businessmen of misusing their media for personal gains at the expense of national interest.

  He said the government would no longer tolerate the public dispute between the two being carried in the media.

  But, when asked about a special programme aired by TBC1 during which Aziz made comments aimed at tarnishing Mengi’s reputation, Bendera skipped the question at first. After journalists pressured him for an answer, he retorted: ’’You better go and ask them (TBC1).’’

  The government described the tiff between Mengi and Rostam as ’’divisive.’’

  The deputy minister said members of the public were now divided between those who are pro-Mengi and those who are pro-Rostam.

  ’’If this trend is to continue unabated , it can lead the country into chaos,’’ he charged.

  ’’The government directs Rostam Aziz and Reginald Mengi to stop their wrangle through the media and, instead, they should present whatever incriminating evidence they have to the relevant authorities, ’’ said the government statement.

  According to Bendera, the government would no longer allow the two to exchange bitter words publicly. He warned that stern measures would be taken against media houses attempting to divide the nation into groups and thus holding development back.

  The government has asked the two media owners to use their channels for dissemination of information that helps ordinary Tanzanians in their struggle for development.

  It also cautioned editors to uphold professionalism and not let themselves be dictated to by media owners.

  ’’From now onwards the government will not hesitate to take legal measures against media owners operating against professionalism,’’ Bendera underlined.

  The government stated that the war on corruption and misuse of public resources will be intensified. It called on people with information that could help in the war to provide it to state organs that have been entrusted with the responsibility to fight corruption.
   
 2. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sio muda mfrefu kutoka sasa Dunia itashuhudia jinsi TANZANIA itakavyompigia magoti Rostam Aziz
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  I'm Out fo Lunch
   
 4. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,834
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Is TBC out of this? lipi afadhali kati ya kutumia media binafsi au TV ya Taifa kwa matumizi binafsi? kwangu mimi ni media binafsi now why barking on them not TBC?
   
 5. M

  Mndamba Member

  #5
  May 12, 2009
  Joined: Jun 22, 2007
  Messages: 50
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kumpigia magoti RA? Kivipi hebu fafanua. Je ina uhusiano wowote na ujio wa mgeni wa Dr. Shein. Hebu tujuze.
   
 6. Deshbhakt

  Deshbhakt Senior Member

  #6
  May 12, 2009
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 167
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Maybe we should ask Mengi as to why he did not include other media tv networks to broadcast his statement?

  Maybe we should also ask RA as to why he chose TBC and not ITV or etc?
   
 7. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #7
  May 12, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Na ungemsikiliza huyo jamaa sijui ndo Mchukia au Bendera hiyo jana, kama ndo ulikuwa umetoka dinner then unaweza ukatapika ghafla. Yaani jamaa hana logic kabisa kabisa. Yuko very biased kwa kuonyesha RM kakosea. Hivi hawa jamaa huwa wanasomaga hata magazeti tu ya kawaida. Unajua ni AIBU AIBU mtu mzima kwenye TV anashindwa ku-reason vitu vidogo ambapo tunampa Dhamana kubwa ya uongozi katika taifa letu!!!!! Inanikera sana.
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  May 12, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,577
  Likes Received: 18,524
  Trophy Points: 280
  Its high time TBC nao waongee, it was bussiness as usual, mbona TBC inatumika sana kurusha programs zozote za binafsi ili mradi haziendi kinyume cha maudhui ya Kitanzania. Waziri Mkuchika nae sijui kigugumizi cha nini, TBC sio mali ya serikali tena, ni shirika la umma, hivyo linajitegemea likiwa huru kabisa, lina bodi yake na managementi yake, the only thing ni kuwa mishahara yao, inalipwa from taxpayers money.TBC inafanya biashara, RA kaleta biashara, kanunua air time, hata wewe unaweza ukanunua airtime ukalitangazia taifa habari zako na familia yako ili mradi usitukane, usitumie lugha chafu na matusi. TBC, Airtime is for sale, kutakuwa na ofisa wa TBC kuhakiki kinachosemwa, halafu huyoo, hewani unakwenda, whats a big deal?.Hoja ya msingi kwangu, sio RA kuitumia TBC, bali matumizi ya TBC kwa program iliyomkashifu raia mwema na kumwita fisadi nyangumi. Mengi akiamua, anaifungulia TBC kesi ya kashfa na anashinda, ila pia anajua, atalazimika kushindwa kesi nyingine za kashfa ya aina hiyo, endapo wakashifiwa wote watano waliotwa mafisadi papa nao watashitaki. Mtu pekee ambaye, hatajibu, hatafanya press conference wala hatamfungulia kesi Mengi, ni Jeethu Patel, kwa huyu ni Don kwenye Mafia type, Mengi asubiri tuu the quosequenses.
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  May 12, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,577
  Likes Received: 18,524
  Trophy Points: 280
  Mengi alikosea, kutukana wenzie mafisadi papa, sio ustaarabu, hata RA alikosea pia kumjibu Mengi kwa kumtukana Fisadi Nyangumi. Wa kwanza kutukana ndio mwenye kosa, aliyerudisha kutukana ni ana defence ya kuwa provorked.Pamoja na chuki yote dhidi ya ufisadi, sheria, taratibu na kanuni, lazima ziheshimiwe.Mengi amejijengea heshima kubwa na anaheshimika sana ila anaanza kuzeeka vibaya, ile ya kuparamia vibinti vidogo na kukurukushana na Masha, nilijua ni damu inachemka. Hili la kuita wenzie mafisadi papa, kweli amechemsha.Hapa pia udhaifu wa serikali unaonekana wazi, hayo yangesemwa na Mtikila, saa hizi ndani zamani, maana asingeishia kuwataja mafisadi papa, bali angemtaja mpaka msimamizi wao mkuu wa kaya.Kukubali kuwa Mengi amekosea, hakumaanishi ndio natetea ufisadi, hapana, mimi natetea uwepo wa utawala wa sheria, unazingatia sheria taratibu na kanuni katika kutenda haki kwa raia wake.
   
 10. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #10
  May 12, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tamko la serikali kuhusu Mengi na Rostam limetushangaza wengi na limetuacha na maswali magumu. Serikali isutufanye kwamba sisi wote ni mbu mbu! Watu wana akili ya kutambua nyuma ya hilo tamko kuna nini hasa? Ni wazi tamko hilo pamoja na kuwaonya Mengi na Rostam kuacha malumbano hadharani tamko lenyewe linalenga kumlinda zaidi mtuhumiwa mmoja. Kwa jana Joe Bendera ameonyesha kwamba Rostam Aziz ni " Mungu Mwana" wa nchi yetu Tanzania. Tunajiuliza;

  1) Hivi kwa nini Rostam akiguswa serikali na CCM wanakuja juu? Juzi juzi Mwakyembe alipozozana na Rostam serikali na chama tawala wakaigilia haraka sana! Na Mwakyembe akauliza; Kulikoni?

  2) Kwa nini serikali inalia na kupiga mayowe kuliko wafiwa? (Why is the Government crying more than the breaved?). Kama ni Mengi tayari yuko mahakamani na Rostam kapeleka ushahidi Takukuru. Kwa nini Joe Bendera na wenzake wasisubiri sheria ichukue mkondo wake? Kwa kusema Mengi kakosea ni sawa na kuingilia kesi mahakamani maana tayari Manji na Mengi wamefungua kesi huko.

  3) Mbona hatujasikia kelele za serikali kukemea wanao mwandama Rais mstaafu Ben Mkapa kwa mambo kama haya haya? Magazetini, bungeni na vijiweni mbona hatujasikia serikali ikisema jambo hili litatugawa wananchi hivyo tuliache na mwenye ushaidi dhidi ya Rais mstaafu aupeleke kwenye vyombo husika? Nani wa kutetewa zaidi kati ya Rais mstaafu, Ben Mkapa na Mengi na Rostam?

  4) Mbona mgawanyiko haukutokea wakani Dr. Slaa na wenzake walioowataja watuhumiwa wa ufisadi (akiwamo Rais wa sasa) pale Temeke 2007. Na kelele zilikuwa kubwa mno wakati huo. Kwa nini mvutano kati ya Mengi na Rostam upewe umuhimu na serikali kuliko ule wa Mwembe Yanga ambao hata nchi za magharibi ziliingilia mpaka mabalozi wakaitwa na Waziri Membe?

  5) Kwa nini serikali haikulaani matumizi ya vyombo vya habari vya kitaifa Kama TBC1, Daily News na Habari Leo ambavyo vilutumiwa kutangaza mapigo ya Rostam dhidi na Mengi bali serikali inavilaumu IPP na New Habari Corporation (pekee) kwa kutumiwa vibaya? Na TBC1 je? Jana Joe Bendera alishikwa na kigugumizi alipoulizwa kuhusu matumizi mabaya ya TBC1 katika sakata hili. Kwanini?

  6) Waliotajwa na Mengi kama mafisadi papa wote kwa namna moja au nyingine wanajulikana kuifadhili CMM huko nyuma. Juzi juzi Tanil Somaiya aliwafadhili UV-CCM katika uchaguzi. Hivi serikali haioni kwamba watanzania wanajua kwamba anayelipa mpiga zumari ndiye uchagua wimbo gani utapigwa? (Who pays the piper calls the tune) Watu sio wajinga tunajua serikali inalipa fadhila.

  7) Hivi nchi yetu ikipata msukosuko kama uliyoipata nchi ya Guinea Bissau juzi juzi (Mungu apishe mbali) kati ya Mengi na kina Rostam nani atakuwa wa kwanza kukimbia nchi? Your guess is as good as mine.
   
 11. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #11
  May 12, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Mkuu hapo umemaliza kila kitu. Big up!
   
 12. M

  Manundu Member

  #12
  May 12, 2009
  Joined: Apr 7, 2008
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mkuu Pasco,

  Je vipi kuhusu Dr.Slaa aliyoyasema pale mwembe yanga?Si aliwataja wote?
   
 13. Kikojozi

  Kikojozi JF-Expert Member

  #13
  May 12, 2009
  Joined: Mar 24, 2009
  Messages: 331
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ni wapi serikali ilikumbuka kwamba kuna sheria inayokataza matumizi mabaya na ya kibinafsi ya vyombo vya habari:

  Pale Mengi alipotumia vyombo vyake kuuelimisha umma juu ya mafisadi papa;

  au,

  Pale serikali yenyewe ilipotumia vyombo vyake vya habari (magazeti na TBC1) kumpiga jeki RA, mtuhumiwa mkubwa kabisa wa ufisadi nchini, lakini wakachemsha baada ya kuona hasira na chuki za watu dhidi ya mafisadi zinazidi?
   
 14. H

  Hauxtable JF-Expert Member

  #14
  May 12, 2009
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 386
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mkuu, maneno mazito sana hayo....you may be thinking what i'm thinking.
   
 15. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #15
  May 12, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  We said this long time before, logically

  Since

  PRESIDENT = JK

  and JK = CCM

  and CCM = ROSTAM au (ROSTED HAM) kama washabiki wake wanavyomwandika hapa (Rejea thread ya kushindwa kwa kubenea)

  then JK = ROSTAM

  and ROSTAM = TANZANIAN PRESIDENT

  Ukitaka kuona gharika mtukane rais uone, mfano ni zeutamu hiko wapi baada ya kumugusa rais wakati kuna watu wamejinyonga na malalamiko mengi lakini haikushughulikiwa bali walidekezwa mpaka siku waliyong'ata mama yao ziwa.

  Mengi inawezekana alikosea lakini huu ni mwanzo mzuri kwa watanzania kwani sasa wanaona kila kitu pamoja na kuwa media zitakazo bakia baada ya mengi zote ni zao wenyewe tutatumia broad band kuwasiliana na wananchi hata kama hawataki labda wakatake hata computer tanzania.

  hii nchi inaithji kichaa mmoja kwanza hawaendeshe ndio tujue cha kufanya, tanzania tunajivunia amani wakati watu wanapora mali zetu, amani amani amani bila kula, bila kulala, bila maisha bora.
   
 16. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #16
  May 12, 2009
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  Mkuu byasel heshima mbele.
  Naomba kukupongeza kwa kuandika kile nilichokuwa nakiwaza kwa muda mrefu.
  Hivi huyu Rostam Aziz ni nani maana kila akiguswa serekali nzima ina haha kumtetea.Vyombo vya habari vya Rostam Aziz vimekuwa vikitumika kuwashambulia wasiasa mbali mbali tena wengine wenye madaraka makubwa kama Samweli Sitta,John Pombe Magufuli,Dr Mwakyembe na wengine kibao lakini sikuwahi kusikia waziri akilalamika au kuwatetea waliotajwa.

  Waziri wa utawala bora Bi Simba juzi juzi alinukuliwa na TBC1 akimshutumu Bwana Mengi eti kachemsha kwa kuwatuhumu mafisadi hadharani lakini Rostam Aziz alipotumia TBC1 kumkashifu Bwana Mengi sikumsikia Bi Simba akimshutumu Rostam Aziz kwa dhambi ile ile aliyofanya Bwana Mengi.
   
 17. H

  Hongasuta Member

  #17
  May 12, 2009
  Joined: Sep 10, 2006
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninachokiona katika tamko hili linaloitwa la serikali ni mwendelezo tu wa yale aliyoyaanzisha sophia simba katika kuwatetea mafisadi. Inadhihirisha jinsi viongozi wetu (ambao wengi wao ni mbumbumbu) walivyowekwa mfukoni na rostam aziz. Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa rostam aziz na yusuf manji huwa wanatamba kwamba serikali yote imo mifukoni mwao. Manji akishabwia unga wake huwa anawaita watz 'nyani weusi' ambao ameapa kuwaibia mpaka wamlambe miguu kwa sababu hawana akili!

  Hakika haya ni matusi mazito sana kutoka kwa watu ambao wanatutumbukiza kwenye dimbwi la umaskini kutokana na ufisadi wao. Sasa tunapoona watu waliopewa dhamana ya kutuongoza wakitoa matamko ya ajabu, tunabaki kushangaa na kujiuliza: Kulikoni?
   
 18. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #18
  May 12, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hivi washauri wa JK na serikali kwa ujumla huwa hawaingii humu na kusoma magazeti makini? kwanini wameweka pamba masikioni? Mnataka kitokee nini ndiyo mkumbuke shuka?

  Ninakubaliana na Dr. Hassy Kitine wakati mwingine! Ni kweli kuna leadership vacuum (ombwe la utawala).Kauli ya Dr.Kitine ilitakiwa kuwa kama wake up call japokuwa ilikuwa ni tusi kubwa kwa serikali ya sasa.

  Mungu wa rehema atatuwezesha tufike salama hata kama baadhi ya viongozi wetu hawalitakii mema taifa letu.

  Mungu ibariki Tanzania
   
Loading...