Govt announces new BoT board

Mtoto wa Mkulima

JF-Expert Member
Apr 12, 2007
681
126
2008-01-16 09:15:23
By Guardian Reporter


The Minister of Finance, Zakia Meghji, has appointed an eleven-member board of directors for the Bank of Tanzania (BoT).

In her appointment made in November, last year, Meghji has brought in two new faces, re-appointed at least six members from the previous board and dropped at least four.

According to a press statement issued and signed by the BoT Governor, Benno Ndulu yesterday in Dar es Salaam, new faces constituted in the board are Prof Haidary Amani and Ali Mfuruki.

The old guards, according to the BoT website, include the governor himself, Prof Ndulu, the board chairman, and his three deputies?Enos Bukuku (Economic and Financial Policies), Juma Reli (Administration and Internal Controls) and Lila Mkila (Financial Stability and Deepening), who become deputy chairs and executive directors.

Others are N. Mwamba, the Treasury Permanent Secretary, Gray Mgonja and Bosco Kimela.

Those who served in the previous board whose term comes to an end on January 19, this year, but have been dropped are Leticia Rutashobya, Joseph Semboja and M. Shirima and B. Ndunguru.

According to the BoT statement, the new board will be inaugurated by the Minister of Finance on January 21, this year.

``After the inauguration, the Chairman of the new Board, Prof B. Ndulu will convene a special Board meeting which will discuss the implementation of the recommendations arising from the Special Audit Report on EPA Account,`` reads the statement in part.

The new board in its entirety is as follows: Prof Benno Ndulu (Chairman and Chief Executive), Dr E. Bukuku (Executive Director and Deputy Chairman), Juma Reli (Executive Director and Deputy Chairman) and Lila Mkila (Executive Director and Deputy Chairman).

Others are, Prof Amani (Appointee of the Minister), A. Mfuruki (Appointee of the Minister), Dr N. Mwamba (Appointee of the Minister), Director from Zanzibar (yet to be appointed?Appointee of the Minister), Permanent Secretary to the Treasury ?ex-official, Principal Secretary to the Treasury (Revolutionary Government of Zanzibar)?ex-official and B. Kimela (Acting Secretary to the Board).

SOURCE: Guardian
 
Appointemnt is November 2007, scandal January 2008.... Am sure the old board (so it is to me) inabidi ijiondoe pia!!!! Lakini ndio hivyo, waswahili twasema "Ametupiga changa la macho!!"

Yetu macho na masikio pia lakini wakumbuke kuwa iliandikwa na wahenga "Yana mwisho hayo......"
 
""""YESUUUUU WANGUUUUUUUU KIRRUUUUUUUUUUU NA MARIAAA NA YOSEPHHH MTAKATIFUUUUUU EMBU YESU TWAKUOMBA USHUKEEEEEEE HUUUUU NI UUUAJI WA MAISHA YA WATUUU

NDUGU WANAFORUM NASIKITIKA NA KWA KWELI NAZIDI KUUMIA KWA JINSI HAYA MAMBO YANVYOENDELEA,,,BADO NI NEEMA YA MUNGU NDIO ITAKAYOTUPONYA,,,,NINA MASWALI MAWILI MATATU YANAYONIFANYA NILIE KWA STYLE HIYO JAMAN NATAMANI MNGEONA CHOZI LANGU JUU YA MAMBO YA BOT NA UTEUZI WAO,,,,

1))HII BODI IMECHAGULIWA TOKA NOVEMBER NA LEO HII UNAAMBIWA INATANGAZWA KISA KUNA SCANDAL LA BOT,,,,KWA NINI TOKA NYUMA WASIITANGAZE UTEUZI HUO JAMANI,,HUU NI UHUNI USIOWEZA KUZUILIKA HATA KIDOGO,,,,,

2))Huu uteuzi nafikiri aukuzingatia maslahi ya watanzania na wananchi wote kwa jumla ,,ninasema hivi kwa nianjema nikiwa kama mtanzania mwenye kupenda nchi yangu,,,nampongeza sana kwa uteuzi wa ""PROF KICHWA MCHUMI AMANI""...huyu ananitiia moyo maana ni kichwa pale chuo na nafikiri wanachuo watamkumbuka,,,

"ALI MWIZI MUFURUKI"""

HUYU BWANA KWA KWELI LABDA NISEME KAMA BAGAMOYO BASI NI YAKE,,,HUYU MTU ANASIFA KUBWA YA WIZI KWA KILA BODI ATAKYOPITA NA NATUMAINI WENGI WANAOMFAHAMU WATAKUBALIANA NAMI....

HUYU BWANA NDIE ALIEIUA SHIRIKA LA NDEGE LA TANZANIA AKISHIRIKIANA NA FISADI MWENZAKE A. MP.....E
BADO NAJIULIZA HUYU MAMA ANATAKA NINI???HAKUONA TAISI ALIVYOHANGAIKA KUACHANA NA SAA NA GARAMA TULIZOTUMIA,,,KUACHANA NA SAA NA lHASARA ALIOIBA HUYU MKUU KUSHIRIKIANA NA WAZUNGU WA SAA WALIOKUWA KWENYE MANAGEMENT NISWLA LA KUSIKITISHA SANA
 
EMBU WEWE MWENYE AKILI KIDOGO FIKIRIA JAMBO MOJA KUBWA ALILOTAKA KUFANYA NA NDILO LILOMKIMBIZA ATCL,,,,

"WAKATI ATCL IKIWA INAACHANA NA SOUTH AFRICAN AIRWAYS... kampuni ya atcl ilikuwa na ndege mbili zilizokuwa zimekodishwa toka atcl,,ndege hizi zilikodisha kupitia middlemen mmoja,,ila zilikuwa zimetokea kampuni moja inaitwa SAF AIRWAYS,,,SAF AIRWAYS WAMEKODISHA KWA DOLA 4O,000,,ATCL NASIKIA WALIKUWA WAKILIPA DOLLER 75,000 YARABI SALAMA,,,HUYU BWANA TUKUMBUKE ANA UHUSIANO NA SAA NA MAKUMPUNIMAKUBWA WAKISHIRIKIANA KUIUZA TANZANIA KWA MAKUBURU LEO HII TUNAMPA BODI YA BOT JAMANII,,,,

2))))AKIWA KAMA MWENYEKITI WA BODI YA ATCL ALIDIRIKI KUMPA MKEWE KAZI ZOTE ZA UKARABATI WA COMPUTER NA MAMBOMENGINE KWENYE KAMPUNI,KUPITIA KAMPNI YAKE MOJA,,KATIKA KUMHOJI ALIKIRI NA KUSEMA KAMA WANAUWEZO KWANINI WAPELEEKE SEHEMU NYINGINE,,HAYA MAMBO HAYO

3))Hii ndio hawswa iliomkibiza mshenzi yule kabla ya kutukufukuza sisi,,,tukiwa na ndege hizo mbili tukazirudisha kama moja ya mkataba unavyosema tukiachana ,,,baada ya hapo serikali wakasema wanatoa bill kadhaa kwa ajili ya kununua ndege mpya ,,huyu bwana wakishirikiana na wazungu washenzi wenzie walidiriki kuandika mkataba kwamba wanataka kunua ndege mpya toka kisiwa cha elsavador,,katika mkatba huo mungu si wa mwanakijiji wala mfuruki watu wakauona kabla aujapelekwa kwenye bodi,,,JF PIGENI SALA MAMBO MENGI TU MWAKA HUU SI WA SHETANII,,JAMAA KATIKA REG ZA NDEGE ZIKAANDIKWA NAMBA ZAKE KAMA SHERIA INAVYOSEMA,,GAFLA WATU WAKUCHUKUA KWENDA KUANGALIA NA ZILE TUZIRODISHA HAMAD HAKUNA HATA NAMBA MOJA ILIOBADILISHWA ,,BILA HURMA KIUMBE HUYU AKATKA KUTUUZA TENA KWA MAKUBURU KUPITIA MKONO WA ELSAVADOR,,,KUMBE ZILE ZILE ZILIKUWA ZIENDE HUKO THEN ZITURUDIE TEN ALE HELA AANZE HUYU HUYU TUNAMPA BOT HAYA TUWAACHIE WENYEWE ,,,AKIKATAA TUTAMUULIZA KABLA HATUJAMMWAGIA MKATABA KWENYE FORUMS,,
 
Gavana mpya apangua wakurungenzi Benki Kuu Tanzania
Na Ramadhan Semtawa

KATIKA harakati za kusafisha uozo ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Gavana Profesa Benno Ndulu, amefanya mabadiliko makubwa ndani ya taasisi hiyo nyeti ya fedha nchini kwa kupangua safu ya wakurugenzi wa Idara mbalimbali.


Mabadiliko hayo ambayo ni ya kwanza kufanywa na GAvana Ndulu tangu ateuliwe kushika wadhifa huo wiki iliyopita, yamemng'oa mmoja wa vigogo wa benki hiyo Amatus Liyumba ambaye alikuwa ni Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi (DPA).


Gavana Profesa Ndulu, alimweleza mwandishi wa gazeti hili ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana kuhusu mabadiliko hayo ambaye lengo lake ni kuboresha utendaji ndani ya BoT.


Awali taarifa zilizofikia gazeti hili kutoka vyanzo habari ndani ya serikali, zilisema taarifa za mabadiliko hayo zimetangazwa juzi jioni.


Profesa Ndulu alimtaja Leornad Kasalika kutoka BoT tawi la Arusha kuchukua nafasi ya Liyumba.


Kwa mujibu wa Profesa Ndulu, Liyumba atapangiwa kazi nyingine na kuongeza kwamba mabadiliko hayo yameangalia mambo matatu ya msingi.


Alisema mabadiliko hayo yanalenga kuboresha mazingira ya utendaji ili kuleta tija na ufanisi ndani ya benki.


Alifafanua kwamba, mabadiliko hayo yamegusa idara karibu zote isipokuwa Idara ya Uchumi, Fedha na Masoko.


Gavana huyo ambaye amekuwa akiangaliwa kama mwenye kuweza kuleta mabadiliko ndani ya BoT kutokana na uzoefu wake wa kufanya kazi Benki ya Dunia (WB) alifahamisha kwamba mabadiliko hayo yamegusa idara za makao makuu na matawi yote ya benki hiyo, isipokuwa Mwanza.


Matawi ya BoT nchini ukiacha Mwanza ni pamoja na Zanzibar, Mbeya na Arusha ambayo yamekuwa yakiongozwa na wakurugenzi huku.


Alizitaja idara nyingine zilizohusika na mabadiliko hayo kuwa ni Fedha, Benki, Idara inayoshughulikia Deni la Taifa na inayoshughulikia Zabuni.


Profesa Ndulu aliongeza kwamba katika mabadiliko hayo, baadhi ya wakurugenzi wamepandishwa, wengine kuondolewa na baadhi kuhamishwa idara.


Hata hivyo, Profesa Ndulu alisema taarifa zaidi kuhusu idara na majina ya watu walioteuliwa zitatangazwa wakati wowote kuanzia sasa.


Ingawa hakutaja majina zaidi, alisema wakurugenzi watano ni wapya ambao wamepandishwa.


Alisema mabadiliko hayo pia yameondoa watu ambao walikaa muda mrefu katika idara zao, kupandisha vijana na kuleta uwiano wa rika la uongozi kwa kuzingatia sifa zinazostahili.


Mabadiliko hayo ya wakurugenzi yamefanywa siku chache baada ya Rais Jakaya Kikwete kumfukuza kazi Ballali na kuagiza kuwa watu wote waliohusika katika ufisadi wa Sh133 bilioni katika Akaunti ya Mabdeni ya Nje (EPA) katika ya benki hiyo washughulikiwe mara moja.


Hatua hiyo pia imekuja huku Kikosi Kazi (Task Force) kinachoongozwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) Johnson Mwanyika, kikiwa kimepewa miezi sita kuhakikisha wote waliohusika kuanzia ndani ya BoT na wamiliki wa makampuni 22 wanachunguzwa na kukamatwa kisha kufikishwa katika vyombo vya sheria na fedha zirejesheshwe.


Wakati huo huo, Salim Said na Patricia Kimelemeta wanaripoti kuwa, Bunge na Serikali vimetakiwa kuipitia upya Sheria ya Kumteua Gavana wa BoT kwa sababu inampa nguvu nyingi katika utendaji wake bila ya kuzingatia athari zinazoweza kujitokeza.


Hayo yalisemwa jana na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Jimbo la Wawi, Hamad Rashid (CUF) alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za Bunge jijini Dar es Salaam.


Alisema kitendo cha mtu mmoja kumteuwa kiongozi wa taasisi muhimu kama BoT ambaye anakuwa mamlaka na nguvu kubwa ya kisheria kuna upungufu mkubwa kwani kunaweza kuisababishia serikali hasara ya mabilioni ya shilingi.


Alisema, ufisadi uliotokea BoT umesababishwa kwa kiwango kikubwa na Sheria hiyo na kuongeza kuwa katika nchi nyingi duniani Gavana lazima athibitishwe na Seneti jambo ambalo Tanzania halipo.


Aliongeza kuwa Bodi ya BoT haina nguvu na mamlaka makubwa ya kisheria kwani inashindwa hata kuzuia ufisadi ambao unaweza kufanywa na Gavana ambaye ndiye mwenyekiti wa Bodi hiyo.


Naye Waziri wa Fedha Zakia Meghji alisema Rais ameshatoa maelekezo kwa vyombo husika kushughulikia maeneo mbalimbali ya ufisadi na kwamba amesema wapewe muda zaidi kushughulikia ufisadi huo.


Hata hivyo alisema kuwa taarifa za kwamba hasara ya BoT ni zaidi ya dola bilioni moja hazina ukweli kwani hata wakaguzi wa nje walisema ufisadi ulikuwepo kwenye kipengele kimoja tu cha EPA.


Kuhusu Dk Balali kulipiwa gharama za matibabu ya nchini Marekani, alisema analipiwa kwa sababu ana bima ya maisha na kuongeza kuwa ili kupata maelezo zaidi aulizwe Gavana mpya Profesa Ndulu.
 
This is a good start for the new governor. Huyu mtu aitwaye Liyumba, ndie alikuwa akikaimu ugavana wakati Ballali alipokuwa nje kwa kipindi kirefu kipindi kile ambacho Naibu Gavana Mbaye alipoondoka na kabla Naibu Gavana Reli hajateuliwa.

Inasemekana Liyumba, (most likely na wasanii wenzake kama Noni, Kilato) alikuwa na dili nyingi za kifisadi na alikuwa kama panya akitawala wakati paka (Ballali)alipokuwa ughaibuni. Common sense inanituma kuniambia Liyumba alikuwa na Godfather mwenye kofia mbili. Huyu Godfather, ni kama centerforward wa ufisadi kwani ana access na hazina zote.

The Godfather, aka Gray Mgonja, alikuwa pamoja na Liyumba huko BoT kabla BWM hajamteua Mgonja kuwa naibu Katibu Mkuu Hazina. Kwa sasa, Mgonja (ambaye anahusishwa pia na Meremeta) yupo hazina tangu wakati wa fisadi mwenzake, Mramba, na kwa wadhifa wake, ni mjumbe wa bodi ya wakurugenzi huko BoT. Ulaji left and right.

Kweli tukistaajabia ya Musa tutayaona ya Firauni!!
 
Mabadiliko hayo ambayo ni ya kwanza kufanywa na GAvana Ndulu tangu ateuliwe kushika wadhifa huo wiki iliyopita, yamemng'oa mmoja wa vigogo wa benki hiyo Amatus Liyumba ambaye alikuwa ni Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi (DPA).

Huyu Ndulu, ni for real jamani au? Maana juzi tu hapa JF tulikuwa tukimchambua huyu Liyumba, leo Ndulu kampuzisha! Ndulu ni member hapa nini?

Duh, sina uhakika na the inside, lakini I love this! Huyu Ndulu anaonekana kuwa ni a real deal, au wadau munasemaje? Lakini it sounds good to me!
 
Wana JF, sasa tumeliwa; Ali Mufuruki board member wa BOT? Basi this is a joke. Yaani tapeli Ali Mufuruki sina la kusema; Si ni yule aliyeiuwa ATC, si ndiye mwenye duka la Woolworth, si ndiye mkurugenzi wa Mwananchi Communications, na InfoTech Group aliyejidai kununu jumba la DailyNews/Printpak kumbe hela hana. Hapo kuna mkono wa Rostam + Ruhinda + Megji + JK. Listi kamilifu!

Haya awamu mpya ya wizi na matanuzi BOT!
 
Uwajibikaji utatoka wapi ikiwa Gavana Ndulu ndiye pia mwenyekiti wa bodi! Akiamua kufanya madudu kama ya Ballali hata huko kwenye Board anaweza kabisa kuyaficha wasiyajue kwa kuwa tayari ana kofia mbili ambazo anaweza kuzitumia kuficha madhambi yake. Hivi wameshindwa kupata mtu mwingine na kumpa umwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi hadi wamvalishe kofia mbili Ndulu!? Hii siri kali ni ya wasanii wa hali ya juu!
 
Uwajibikaji utatoka wapi ikiwa Gavana Ndulu ndiye pia mwenyekiti wa bodi! Akiamua kufanya madudu kama ya Ballali hata huko kwenye Board anaweza kabisa kuyaficha wasiyajue kwa kuwa tayari ana kofia mbili ambazo anaweza kuzitumia kuficha madhambi yake. Hii siri kali ni ya wasanii wa hali ya juu!

Ndio maana ni muhimu sana kupitia upya seria zinazosimamia vyombo vya serikali. Naweza kukupa mfano, unakuta katibu mkuu wa Hazina ndie mwenyekiti ya bord wa NSSF na wakati huo huo serikali (Hazina) kupitia BOT inafanya biashara na NSSF unafikiri hapo mambo yanakuwa je? Tunatatizo kubwa sana la kisheria mkuu.
 
hili sakata la bot ni kubwa mno na limeota mizizi.

kama ripoti ya enerst and young itawekwa hadharani, basi serikali nzima ya sasa ya JK itabidi waondoke, ambalo ni jambo lisilowezekana. ndio maana unakuta kuna tabia za kuweka watu kwenye nyadhifa ambao watafunika mambo ya nyuma
 
Zalendo Halisi Ndio Yuleyule Mtapeli Mwizi Ali Mufuruki Naona Wanatka Kurudi Kwa Yale Yakina Balali,,hapa Wlaichofanya Nafikiri Jk Anataka Kuwek Watuwake Nae Ale Vizuri Huyu Ni Kichwa Kwa Utapeli,,hiyo Kmapuni Ya Infotech Ndio Ilioimaliza Atcl Pia,,kuna Check Nyingi Na Hiyo Ni Merermeta Nyingine Tusubiri
 
Yule Kigogo Kidume Amatus Liyumba ambaye alikuwa ni Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi (DPA) BOT, hatimaye kabwagwa na Gavana mpya katika mabadiliko yake ya kwanza kwa BOT tangu achaguliwe kushika nafasi hiyo..Kigogo huyo ambaye anaongoza kwa kula watoto Dar na huonga magari Mekundu Inasemekana ni +Ve lakini akina dada wanalijua hilo na ni deal ukimuunganisha na kigogo. Imekaaje hii waungwana?
 
Zimetolewa sababu zipi za kumtema?Je ni kuhusiana na ufisadi wa KUTISHA ndani ya BoT,uteandaji wake mbovu au ni kwa sababu/chuki binafsi?

Hilo swala la kula watoto na kuwahonga magari mekundu ni lake binafsi na hao kina dada wanaopenda maisha ya mkato as long as haligusi wala kuhusiana na utendaji wake na uhai na/au ufisadi katika benki yetu (?),kwani kama swala la kuhonga mbona JK mwenyewe anafahamika kwa swala hilo?vile vile tukumbuke nature ya kina dada kupenda maisha ya anasa na rahisi,kwa hilo sitamlaumu,ila kama katupwa nje kutokana na ufisadi,matumizi mabaya ya ofisi/madaraka na sababu kama hizo basi it is all for good.
 
Malipo hapa hapa Duniania,Nakumbuka wakati yuko pale BOT alipokuwa anachukua vimwana warembo na walikwisha wahi kuwa warembo wa tanzania,alikuwa akipigana vijembe na Waziri mmoja wa serikali kwamba yeye yuko juu zaidi yake huyo waziri mpenda totozi (kwa kipindi hicho-na alishawahi kumgombea hoyce temu akiwa yeye na waziri pamoja na Mzee John Momose cheyo-nakumbuka Miss Lake zone ya 2002 ,ilikuwa Balaa pale Zamani Rock Beach -Mwanza huko kwa kina Mwanakijiji).

Mkuu Liyumba aliweza kuchukua binti yeyote yule coz ana pesa zaidi ya yule waziri,Jamaa waziri yule alipata kuwa waziri wa Nishati,Fedha na baadaye nasikia alipewa madaraka makubwa na wananchi kwa ushindi wa kishindo.Jina lake alilozoeleka pale kariakoo kijiweni saigon ni Muungwana.simkumbuki Jina vizuri ila anapenda sana Maisha yaliyo Bora kwa Maswahiba wake wa pale Saigon..Nani anamkumbuka Mtu huyu?
 
Malipo hapa hapa Duniania,Nakumbuka wakati yuko pale BOT alipokuwa anchukua vimwana ,alikuwa akipigana vijembe na Waziri mmoja wa serikali kwamba yeye yuko juu na anweza kuchukua binti yeyote yule coz ana pesa zaidi ya yule waziri,Jamaa waziri yule alipata kuwa waziri wa Nishati,Fedha na baadaye nasikia lipewa madaraka makubwa na wananchi kwa ushindi wa kishindo.Jina lake alilozoeleka pale kariakoo kijiweni saigon ni Muungwana.simkumbuki Jina vizuri ila anapenda Masiha yaliyo Bora..Who can guess??

Hee?? kumbe yawezekana mkwara juu ya tabia ya Liumba na kisasi kimo???? Mi nilidhani ni uwajibikaji na uchungu kwa wananchi! kumbe yalisha kuwa hayo ya kutambiana nani zaidi na kinara wa kuchukua ze totozi???? mwe!
 
Mzee Kiwembe sana yule na watu wengi walishakuwa Victim wa mtu huyu Mkware
 
Mimi nilikuwa namsikia tu kwamba kuna kidume yeye hafungi Zip ndiyo huyu kumbe ?

Naona Benno anaanza na kasi ya JK atafika ama ndiyo kipya kenyemi ?
 
Malipo hapa hapa Duniania,Nakumbuka wakati yuko pale BOT alipokuwa anachukua vimwana warembo na walikwisha wahi kuwa warembo wa tanzania,alikuwa akipigana vijembe na Waziri mmoja wa serikali kwamba yeye yuko juu zaidi yake huyo waziri mpenda totozi (kwa kipindi hicho-na alishawahi kumghombe ahoyce temu akiwa yeye na waziri pamoja na Mzee John Momose cheyo-nakumbuka Miss Lake zone ya 2002 ,ilikuwa Balaa pale Zamani Rock Beach -Mwanza huko kwa kina Mwanakijiji) na ana Mkuu Liyumba aliweza kuchukua binti yeyote yule coz ana pesa zaidi ya yule waziri,Jamaa waziri yule alipata kuwa waziri wa Nishati,Fedha na baadaye nasikia alipewa madaraka makubwa na wananchi kwa ushindi wa kishindo.Jina lake alilozoeleka pale kariakoo kijiweni saigon ni Muungwana.simkumbuki Jina vizuri ila anapenda sana Maisha yaliyo Bora kwa Maswahiba wake wa pale Saigon..Nani anamkumbuka Mtu huyu?

Acha zako..kwi kwi kwi sasa umemtaja mpaka mjinga anajua, sikujua kama JK aliwahi kugombania totoz na Liumba!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom