Government Special Agent must be protected

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Mh Rais nakupongeza Sana kwa kaz nzuri unaifanya kwa Taifa.

Mh Rais mim nakilio kimoja kikubwa sana nacho sio kingine ila nikuwataja special government agenf taifa na watu kuwajuwa dhahiri shahiri wanatoka kule kwenye taasisi nyeti.

Unaweza nisema vyovyote vile ila kuwataja hawa watu kwenye hadhira ya watu nihatri hata kwa usalama wako na taifa maana kumbuka watu wanawajuwa kwa vyeo vyao ila sio wanatoka idara gani.

Ikumbukwe kuwataja watu hawa hadharani nikuwaandikia adhabu ya kifo maana wanakuwa wamefanya mambo mengi kiasi wengi walio wadhania wakawa hawana huwakikia sasa wana uwakika kumbe hofu yao ni kweli.

Ndio maana hutomsikia Rais wa Marekani akisema nimechaguwa waziri kutoka ndani ya cia hata kama macho ya wote wamemzunguka watajuwa ametoka cia.

Israel ni bingwa wakulinda agent zake ndio maana wananguvu ya kiusalama.

Marekani ni moja ya nchi inafuwatilia sim za watu ila kamwe huwez msikia Rais anasema nafuwatilia sim zenu

Hii inakusaidi kupata taarifa nyeti nakufanya maamuz mazito bila wao kujuwa. Adui akijuwa unamfuwatilia anabadilisha njia na kwa bahati mbaya sana mpaka uje kujuwa amebadilisha njia tayari inakuwa wamemaliza mipango.

Mh Rais nilazima utafute kila njia ku cover hawa watu nakujizuwia watu kujuwa nani kafanya nin na katekeleza nn maana jamii hatuitaji kumjuwa ila kukupongeza kaz nzuri unafanya.

Nina amini kabisa mkurugenz wa Takukuru wanae na mke wake uwenda walijuwa baba ni police wakawaida ila kujuwa ni TISS nadhani wao pia wamepata hofu.

Kiongoz mkubwa Marekan aliingia kwenye shutuma nzito kwakutumia emaik zake binafsi kutoa taarifa ya agent walikuwa nchi fulani jambo lilisababisha hacker kuiba taarifa nakuwauwa wale agent sasa wewe Mh unawataja hawa watu sidhani kama ni sifa ila ni hukumu ya umauti kwao mana wabaya wao watawawinda wakijuwa wao ndio sababu.

Ndio maana hata IGP alishituka kujuwa yule bwana ni kutoka chama kile sidhan kama alipata usingizi.
Hayo ndio maon yangu MhRais
 
Israel ni bingwa wakulinda agent zake ndio maana wananguvu yakiusalama.

Nina amini kabisa mkurugenz wa Takukuru wanae na mke wake uwenda walijuwa baba ni police wakawaida ila kujuwa ni Tiss nadhani wao pia wamepata hofu.

Kiongoz mkubwa Marekan aliingia kwenye shutuma nzito kwakutumia emaik zake binafsi kutoa taarifa ya agent walikuwa nchi fulani jambo lilisababisha hacker kuiba taarifa nakuwauwa wale agent sasa wewe Mh unawataja hawa watu sidhani kama ni sifa ila nihukumu ya umauti kwao mana wabaya wao watawawinda wakijuwa wao ndio sababu.

Hili suala tulilizungumzia sana jana hasa faida ya JPM kumtaja Boss wa PCCB. Rejea https://www.jamiiforums.com/threads...okujua-miiko-au-ni-sifa.1566439/post-30922594
 
Usiogope hata ww iko siku atakutaja maana ww ndio ulisema Ben Saa8 atapotea na kweli akapotea mpaka leo. Na kwa hisia za haraka haraka watu wasiojulikana wanahusishwa na hao taasisi. Hivyo hofu yako kwa rais kumtaja huyo mtu ni kwakuwa hiyo taasisi ina taswira mbaya ya kudhuru watu kuliko kulinda taifa.

NB: Halafu ww hujui kuandika vizuri na kiswahili chako sio kizuri, inakuwa ni kama uko hapa nchini lakini hujakulia hapa. Pitia nyuzi zako zote zina tatizo la kusarufi, huenda nyie ndio wale wa kutoka nchi ya jirani mnaotumika na system kudhuru wananchi.
 
Walianza wenyewe kujitangaza, “Unajua mimi ni nani?” kwahiyo hawakukiheshimu kiapo chao wao wenyewe. Lakini pia, kwa mtu wa mfumo ambae si mkusanyaji wa taarifa haina madhara kumtaja, kwa nafasi yake tu kama askari wa ngazi ya juu anaefahamika isingekua rahisi kutumiwa kwenye uchunguzi wowote field, zaidi anaweza kutumika kudigest, na kufanya processing ya taarifa zinazofikishwa juu. Tatizo linaloweza kujitokeza labda kutafutwa na wabaya wetu kwa kumturn na kumtumia kama Asset wao wa kuwapelekea taarifa za ndani.
Ukiangalia tovuti ya FBI utakuta waratibu wa idara zote wametajwa kwa majina yao kabisa na majukumu yao, kwahiyo kwa mtendaji wa juu kujulikana sio tatizo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
"Nina amini kabisa mkurugenz wa Takukuru wanae na mke wake uwenda walijuwa baba ni police wakawaida ila kujuwa ni Tiss nadhani wao pia wamepata hofu"

"Ndio maana hata IGP alishituka kujuwa yule bwana ni kutoka chama kile sidhan kama alipata usingizi.
Hayo ndio maon yangu MhRais"

Hii ni hatari sana...

Cc: mahondaw
 
Usiogope hata ww iko siku atakutaja maana ww ndio ulisema Ben Saa8 atapotea na kweli akapotea mpaka leo. Na kwa hisia za haraka haraka watu wasiojulikana wanahusishwa na hao taasisi. Hivyo hofu yako kwa rais kumtaja huyo mtu ni kwakuwa hiyo taasisi ina taswira mbaya ya kudhuru watu kuliko kulinda taifa.

NB: Halafu ww hujui kuandika vizuri na kiswahili chako sio kizuri, inakuwa ni kama uko hapa nchini lakini hujakulia hapa. Pitia nyuzi zako zote zina tatizo la kusarufi, huenda nyie ndio wale wa kutoka nchi ya jirani mnaotumika na system kudhuru wananchi.
Hebu achana na huyo mr tindo,underline maazimio ya kikao cha kamati kuu kilichofanyika jana,maana naona kuna upotoshaji,na wewe nkuaminia ,ni mtu wa jikoni kabisa ndani ya saccos hii ya ufipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nikuambie mara ngapi? Mimi sio mwanachama wa cdm wala wa chama chochote cha siasa bali ni shabiki wa kutupwa wa cdm. Huyo Mbowe hata mimi namuona kwenye TV tu kama watu wengine. Sina yoyote ninayemjua huko juu kwenye cdm zaidi ya mimi kuwa mpiga porojo hapa jukwaani. Hata mimi nashangaa iweje mpaka sasa hakuna updates ya hicho kikao! Lakini siku hizi kitengo cha habari chini ya Makene kinapwaya, baadhi ya sehemu cdm wanapaswa kufanyia kazi ni pamoja na kitengo cha habari.
 
Mbona mnakua kama vile hamtaki kuelewa? Raisi kufanya vile anataka awajaze watu hofu, maana anahisi kama vile watu hawaogopi kitu hii inatokana na watu kuchukulia poa taasisi hizo, pia uoga wake anataka awaambukize watu kama ni mtu wa kusikiliza kitu kwa makini utaelewa kwamba huyu mtu ni wa kuhurumia maana ana ile mikwara ya kishamba na ya kitoto i.e baba yangu mimi mwanajeshi, mwingine baba yangu mimi usalama wa taifa, mwingine baba yangu mimi ni polisi etc etc yani ni ushamba ushamba usiojua sheria yoyote ile...ushawahi ona wapi mtu wa takukuru anakukamata kwa sheria za polisi au usalama wa taifa hahahaahaba
 
Hofu anajijaza mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh Rais nakupongeza Sana kwa kaz nzuri unaifanya kwa Taifa.

Mh Rais mim nakilio kimoja kikubwa sana nacho sio kingine ila nikuwataja special government agenf taifa na watu kuwajuwa dhahiri shahiri wanatoka kule kwenye taasisi nyeti.

Unaweza nisema vyovyote vile ila kuwataja hawa watu kwenye hadhira ya watu nihatri hata kwa usalama wako na taifa maana kumbuka watu wanawajuwa kwa vyeo vyao ila sio wanatoka idara gani.

Ikumbukwe kuwataja watu hawa hadharani nikuwaandikia adhabu ya kifo maana wanakuwa wamefanya mambo mengi kiasi wengi walio wadhania wakawa hawana huwakikia sasa wana uwakika kumbe hofu yao ni kweli.

Ndio maana hutomsikia Rais wa Marekani akisema nimechaguwa waziri kutoka ndani ya cia hata kama macho ya wote wamemzunguka watajuwa ametoka cia.

Israel ni bingwa wakulinda agent zake ndio maana wananguvu yakiusalama.
Marekani ni moja ya nchi inafuwatilia sim za watu ila kamwe huwez msikia Rais anasema nafuwatilia sim zenu

Hii inakusaidi kupata taarifa nyeti nakufanya maamuz mazito bila wao kujuwa. Adui akijuwa unamfuwatilia anabadilisha njia na kwa bahati mbaya sana mpaka uje kujuwa amebadilisha njia tayari inakuwa wamemaliza mipango.

Mh Rais nilazima utafute kila njia ku cover hawa watu nakujizuwia watu kujuwa nani kafanya nin na katekeleza nn maana jamii hatuitaji kumjuwa ila kukupongeza kaz nzuri unafanya.

Nina amini kabisa mkurugenz wa Takukuru wanae na mke wake uwenda walijuwa baba ni police wakawaida ila kujuwa ni Tiss nadhani wao pia wamepata hofu.

Kiongoz mkubwa Marekan aliingia kwenye shutuma nzito kwakutumia emaik zake binafsi kutoa taarifa ya agent walikuwa nchi fulani jambo lilisababisha hacker kuiba taarifa nakuwauwa wale agent sasa wewe Mh unawataja hawa watu sidhani kama ni sifa ila nihukumu ya umauti kwao mana wabaya wao watawawinda wakijuwa wao ndio sababu.

Ndio maana hata IGP alishituka kujuwa yule bwana ni kutoka chama kile sidhan kama alipata usingizi.
Hayo ndio maon yangu MhRais
hivi wewe c ndio ulimuua bs 8
 
Usiogope hata ww iko siku atakutaja maana ww ndio ulisema Ben Saa8 atapotea na kweli akapotea mpaka leo. Na kwa hisia za haraka haraka watu wasiojulikana wanahusishwa na hao taasisi. Hivyo hofu yako kwa rais kumtaja huyo mtu ni kwakuwa hiyo taasisi ina taswira mbaya ya kudhuru watu kuliko kulinda taifa.

NB: Halafu ww hujui kuandika vizuri na kiswahili chako sio kizuri, inakuwa ni kama uko hapa nchini lakini hujakulia hapa. Pitia nyuzi zako zote zina tatizo la kusarufi, huenda nyie ndio wale wa kutoka nchi ya jirani mnaotumika na system kudhuru wananchi.
Tindo kila raia ni usalama wa taifa
 
Vyombo vyote vya kishushushu duniani vinaoperate in dark world and anonymity. Ni hatari sana kuwauncover; kila mwenye akili lazima alimuonea huruma CP maana ile kazi sio ya kuonea wivu hata kidogo
 
Wewe muuaji wa Ben Saanane mwili wa Ben umeutupa wapi na wauaji wenzio?

Baada ya kushiriki mauaji ya kutisha dhidi ya Watanzania sasa unaanza kutafuta protection. Malipo ni hapa hapa duniani. MUUAJI MKUBWA WEWE!

Mh Rais nakupongeza Sana kwa kaz nzuri unaifanya kwa Taifa.

Mh Rais mim nakilio kimoja kikubwa sana nacho sio kingine ila nikuwataja special government agenf taifa na watu kuwajuwa dhahiri shahiri wanatoka kule kwenye taasisi nyeti.

Unaweza nisema vyovyote vile ila kuwataja hawa watu kwenye hadhira ya watu nihatri hata kwa usalama wako na taifa maana kumbuka watu wanawajuwa kwa vyeo vyao ila sio wanatoka idara gani.

Ikumbukwe kuwataja watu hawa hadharani nikuwaandikia adhabu ya kifo maana wanakuwa wamefanya mambo mengi kiasi wengi walio wadhania wakawa hawana huwakikia sasa wana uwakika kumbe hofu yao ni kweli.

Ndio maana hutomsikia Rais wa Marekani akisema nimechaguwa waziri kutoka ndani ya cia hata kama macho ya wote wamemzunguka watajuwa ametoka cia.

Israel ni bingwa wakulinda agent zake ndio maana wananguvu ya kiusalama.

Marekani ni moja ya nchi inafuwatilia sim za watu ila kamwe huwez msikia Rais anasema nafuwatilia sim zenu

Hii inakusaidi kupata taarifa nyeti nakufanya maamuz mazito bila wao kujuwa. Adui akijuwa unamfuwatilia anabadilisha njia na kwa bahati mbaya sana mpaka uje kujuwa amebadilisha njia tayari inakuwa wamemaliza mipango.

Mh Rais nilazima utafute kila njia ku cover hawa watu nakujizuwia watu kujuwa nani kafanya nin na katekeleza nn maana jamii hatuitaji kumjuwa ila kukupongeza kaz nzuri unafanya.

Nina amini kabisa mkurugenz wa Takukuru wanae na mke wake uwenda walijuwa baba ni police wakawaida ila kujuwa ni TISS nadhani wao pia wamepata hofu.

Kiongoz mkubwa Marekan aliingia kwenye shutuma nzito kwakutumia emaik zake binafsi kutoa taarifa ya agent walikuwa nchi fulani jambo lilisababisha hacker kuiba taarifa nakuwauwa wale agent sasa wewe Mh unawataja hawa watu sidhani kama ni sifa ila ni hukumu ya umauti kwao mana wabaya wao watawawinda wakijuwa wao ndio sababu.

Ndio maana hata IGP alishituka kujuwa yule bwana ni kutoka chama kile sidhan kama alipata usingizi.
Hayo ndio maon yangu MhRais
 
Mh Rais nakupongeza Sana kwa kaz nzuri unaifanya kwa Taifa.

Mh Rais mim nakilio kimoja kikubwa sana nacho sio kingine ila nikuwataja special government agenf taifa na watu kuwajuwa dhahiri shahiri wanatoka kule kwenye taasisi nyeti.

Unaweza nisema vyovyote vile ila kuwataja hawa watu kwenye hadhira ya watu nihatri hata kwa usalama wako na taifa maana kumbuka watu wanawajuwa kwa vyeo vyao ila sio wanatoka idara gani.

Ikumbukwe kuwataja watu hawa hadharani nikuwaandikia adhabu ya kifo maana wanakuwa wamefanya mambo mengi kiasi wengi walio wadhania wakawa hawana huwakikia sasa wana uwakika kumbe hofu yao ni kweli.

Ndio maana hutomsikia Rais wa Marekani akisema nimechaguwa waziri kutoka ndani ya cia hata kama macho ya wote wamemzunguka watajuwa ametoka cia.

Israel ni bingwa wakulinda agent zake ndio maana wananguvu ya kiusalama.

Marekani ni moja ya nchi inafuwatilia sim za watu ila kamwe huwez msikia Rais anasema nafuwatilia sim zenu

Hii inakusaidi kupata taarifa nyeti nakufanya maamuz mazito bila wao kujuwa. Adui akijuwa unamfuwatilia anabadilisha njia na kwa bahati mbaya sana mpaka uje kujuwa amebadilisha njia tayari inakuwa wamemaliza mipango.

Mh Rais nilazima utafute kila njia ku cover hawa watu nakujizuwia watu kujuwa nani kafanya nin na katekeleza nn maana jamii hatuitaji kumjuwa ila kukupongeza kaz nzuri unafanya.

Nina amini kabisa mkurugenz wa Takukuru wanae na mke wake uwenda walijuwa baba ni police wakawaida ila kujuwa ni TISS nadhani wao pia wamepata hofu.

Kiongoz mkubwa Marekan aliingia kwenye shutuma nzito kwakutumia emaik zake binafsi kutoa taarifa ya agent walikuwa nchi fulani jambo lilisababisha hacker kuiba taarifa nakuwauwa wale agent sasa wewe Mh unawataja hawa watu sidhani kama ni sifa ila ni hukumu ya umauti kwao mana wabaya wao watawawinda wakijuwa wao ndio sababu.

Ndio maana hata IGP alishituka kujuwa yule bwana ni kutoka chama kile sidhan kama alipata usingizi.
Hayo ndio maon yangu MhRais
Endeleeni kuumbuana mashetani nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo lake ni kutisha watu, huyo mtu wenu mlibugi sana japo mnatumia nguvu nyingi kumpamba kwa uzalendo uchwara, lakini hamkua 'intelligent' vya kutosha kumjua vizuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom