Government of Gesture: Mawaziri wa Serikali kutumia JamiiForums inaleta picha gani?

HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,000
Nimesoma thread ya waziri wa mambo ya ndani na kwa kweli nimsifu kwa kujiunga na JF na kuja kujibu hoja mbali mbali humu. I supposed baadhi ya JF members (wengi went ni ma idealists kama 1st year political science University students) mna wish mawaziri kama Jesnista Mhagama, Sospeter Muhongo, Nape Mnauye, na Ummi Mwalimu nao wangekuwa members humu na wangekuwa wanajibu hoja mbali mbali

Lakini I'm confused and this doesn't add up.

Inawezekana vipi for a senior cabinet minister to utilise the same platform which has accused of operating illegally in the country hii haingii akilini na kwa sisi ambao ni ma Realists tunaona kuna cracks within this administration au kuna watu wanamsikiliza Mkuu wa Kaya na wanakubaliana naye kwenye Cabinet meetings kisha wakitoka wanafanya wanavyotaka.

Mnakumbuka issue ya Dangote senior cabinet ministers (Charles Mwijage na Sospeter Muhongo) walitoa taarifa za 6 tofauti na zote zilikuwa zinapotosha umma kuwa Dangote anataka GESI YA BURE na ukweli tuliuona baada ya Dangote kuja.

Evidence: tembelea uzi huu:

Mawaziri Charles Mwijage na Sospeter Muhongo wamepotosha Umma. Dangote haijawahi kutaka gesi ya Bure

Weekend tumeona Ummi Mwalimu anatuambia ZIKA hakuna na tafiti za wanasayansi zinatuambia vingine.

Yeye Mwenyewe Mkuu wa kaya alitamka wazi kuwa ni marufuku kwenye ufunguzi wa mambo wa kufua umeme pale Kinyerezi kwa Independent Power Producers (IPP) kugenerate umeme kwani kazi hiyo itafanywa exclusively na TANESCO. Hii ni kinyume na sera ya serikali na pia ni kinyume na PPP policy ya 2009, PPP Act ya 2010, PPP Regulations ya 2011 na PPA ya 2011

Evidence hii hapa:

Exhibit A:

Video kuanzia dakika ya 8:

Exhibit B:

Rais Magufuli aitaja IPTL

Wakati huo huo serikali yake inaendelea kuomba wawekezaji wa IPP waje wawekeze kwenye sekta ya ku generate umeme kwa njia ya PPP

Exhibit C

Waziri Muhongo akutana na Waingereza wenye nia ya kuzalisha umeme nchini — Ministry of Energy and Minerals

Sasa kwa mifano hiyo michache this clearly shows that Magufuli's administration is endowed with people (Muhongo et al) who are inept and speak on both sides of their mouth bila aibu kabisa.

Muhimu zaidi jiulizeni how the government delegitimise JF in the media, detail its founder and then turn around and utilise it to reach the masses.

Siam ini kabida kama mchezo huu unaratibiwa from DSTV na cha ajabu Mkuu wa kata kasha hataki unafiki na sasa why cabinet yake ina wanafiki?

Uziri ni kuwa sisi hatutowapiga ban lakini tunataka kuwepo kwa coherent policy na sio hawa ma career politicians (Mwijage et al ) ambao have never had a job in the real world wanakuja na flipflop statements
 
Yamakagashi

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
8,674
2,000
Nimemuuliza huyu anayependa kuja kuleta ufanunuzi wa mambo yake humu ,anapata wapi ujasiri wa kuleta ufafanuzi wake humu wakati serikali yake ilimuweka ndani mkurugenzi wa Jf na pia huu mtandao haupo kisheria kwa sababu domain yake haipo registered Tanzania
Mtandao haupo kisheria anafuata nini huku badala yake angeenda Facebook na Instagram kupeleka ufafanuzi wake

Mods wakafuta maswali yangu kwenye uzi wake ,nikawauliza wamefuta kwa sababu zipi hawakunijibu ..

Sasa mlitaka tuulize maswali gani ? Kwamba ana wake wangapi au ?

Halafu mna sema "Jf is where we dare to talk openly "
 
sonaderm

JF-Expert Member
Nov 9, 2015
617
1,000
Ki ukweli huwa naridhika na ufafanuzi anaoutoa mwigulu humu JF..Aendelee tu kutoa ufafanuzi humu maana JF is the place where we dare to speak openly!

Mawaziri wengine waige mfano wake maana hata magazeti na blogs zinatoa habari humu humu JF.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
19,918
2,000
HNIC ,

..watakaokuelewa ktk hoja hii ni wachache sana.

..kama serikali inamshitaki Max kwa kuendesha mtandao kinyume cha sheria basi waziri wa mambo ya ndani hakupaswa kutumia mtandao huu kuwasiliana na wananchi.

..lingine ni hilo la Magufuli kupiga marufuku makampuni ya umeme ya ipp halafu waziri wa nishati anafanya mazungumzo nayo. Lakini huyo hafukuzwi kazi.

..umeuliza maswali ya kina na yenye ushahidi. Umelitendea haki jukwaa letu la JF.
 
Pakawa

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
6,353
2,000
Nimemuuliza huyu anayependa kuja kuleta ufanunuzi wa mambo yake humu ,anapata wapi ujasiri wa kuleta ufafanuzi wake humu wakati serikali yake ilimuweka ndani mkurugenzi wa Jf na pia huu mtandao haupo kisheria kwa sababu domain yake haipo registered Tanzania
Mtandao haupo kisheria anafuata nini huku badala yake angeenda Facebook na Instagram kupeleka ufafanuzi wake

Mods wakafuta maswali yangu kwenye uzi wake ,nikawauliza wamefuta kwa sababu zipi hawakunijibu ..

Sasa mlitaka tuulize maswali gani ? Kwamba ana wake wangapi au ?

Halafu mna sema "Jf is where we dare to talk openly "
Acha waendelee kujisigina. Kwa ufupi hakuna kesi ni aibu tu wanajitwisha.
 
shige2

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
7,895
2,000
Freedom of speech and association/Uhuru wa kuongea na kukusanyika/kushirikiana nk.
Ni haki yao. Hapa JF inawasaidia sana katika kutoa yaliyomo MOYONI. Hata kama wengine wanatumia majina ZAIDI ya MOJA ku VENT yale yanayo WAUMA!

Wanasaikolojia wanasema UKIMZUIA mtu KU VENTILATE/KUPUMUA/KUTOA yaliyo MOYONI anaweza kufanya KITU KIBAYA sana. Hivyo ni kusema JF ni mahali hawa watu wanapata nafasi ya ya KUPUMULIA. Tuwavumilie.

Na si lazima iwe ni CRACKS/ NYUFA katika utawala wa Magufuli.Bali pengine mzee kuwasiliza inakuwa ni ngumu. Basi waache WAPUMULIE hapa na waendelee kuchapa kazi!
Maana WENGI ni WAOGA wanaogopa KUMWAGA unga!!!
 
Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
11,256
2,000
Nimesoma thread ya waziri wa mambo ya ndani na kwa kweli nimsifu kwa kujiunga na JF na kuja kujibu hoja mbali mbali humu. I supposed baadhi ya JF members (wengi went ni ma idealists kama 1st year political science University students) mna wish mawaziri kama Jesnista Mhagama, Sospeter Muhongo, Nape Mnauye, na Ummi Mwalimu nao wangekuwa members humu na wangekuwa wanajibu hoja mbali mbali

Lakini I'm confused and this doesn't add up.

Inawezekana vipi for a senior cabinet minister to utilise the same platform which has accused of operating illegally in the country hii haingii akilini na kwa sisi ambao ni ma Realists tunaona kuna cracks within this administration au kuna watu wanamsikiliza Mkuu wa Kaya na wanakubaliana naye kwenye Cabinet meetings kisha wakitoka wanafanya wanavyotaka.

Mnakumbuka issue ya Dangote senior cabinet ministers (Charles Mwijage na Sospeter Muhongo) walitoa taarifa za 6 tofauti na zote zilikuwa zinapotosha umma kuwa Dangote anataka GESI YA BURE na ukweli tuliuona baada ya Dangote kuja.

Evidence: tembelea uzi huu:

Mawaziri Charles Mwijage na Sospeter Muhongo wamepotosha Umma. Dangote haijawahi kutaka gesi ya Bure

Weekend tumeona Ummi Mwalimu anatuambia ZIKA hakuna na tafiti za wanasayansi zinatuambia vingine.

Yeye Mwenyewe Mkuu wa kaya alitamka wazi kuwa ni marufuku kwenye ufunguzi wa mambo wa kufua umeme pale Kinyerezi kwa Independent Power Producers (IPP) kugenerate umeme kwani kazi hiyo itafanywa exclusively na TANESCO. Hii ni kinyume na sera ya serikali na pia ni kinyume na PPP policy ya 2009, PPP Act ya 2010, PPP Regulations ya 2011 na PPA ya 2011

Evidence hii hapa:

Exhibit A:

Video kuanzia dakika ya 8:

Exhibit B:

Rais Magufuli aitaja IPTL

Wakati huo huo serikali yake inaendelea kuomba wawekezaji wa IPP waje wawekeze kwenye sekta ya ku generate umeme kwa njia ya PPP

Exhibit C

Waziri Muhongo akutana na Waingereza wenye nia ya kuzalisha umeme nchini — Ministry of Energy and Minerals

Sasa kwa mifano hiyo michache this clearly shows that Magufuli's administration is endowed with people (Muhongo et al) who are inept and speak on both sides of their mouth bila aibu kabisa.

Muhimu zaidi jiulizeni how the government delegitimise JF in the media, detail its founder and then turn around and utilise it to reach the masses.

Siam ini kabida kama mchezo huu unaratibiwa from DSTV na cha ajabu Mkuu wa kata kasha hataki unafiki na sasa why cabinet yake ina wanafiki?

Uziri ni kuwa sisi hatutowapiga ban lakini tunataka kuwepo kwa coherent policy na sio hawa ma career politicians (Mwijage et al ) ambao have never had a job in the real world wanakuja na flipflop statements
Kwani Sheria zinasemaje? na jf ni Mtandao huru kwa yeyote au hutaki... Tii Sheria acha Povu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom