Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 4,820
- 8,885
Rule No: 1: The boss is always right.
Rule No. 2: The boss is always right
Rule no. 3: if you are not sure of rule no. 2, refer to rule no. 1.
Jana Mh. JPM "amemtumbua" Kaka yangu Mafuru na akatanabaisha kwamba atampangia kazi nyingine.
Sababu ya Mafuru kutumbuliwa haikutajwa lakini it is an open secret kwamba ni kauli yake tata iliyopingana na uamuzi wa Mh. Rais kuhakikisha kwamba hela ya walipa kodi wa Tanzania haiendi kwenye Fixed Deposit account.
Kwangu mimi niliposoma ile kauli ya Gov. Ndullu na Msajili Mafuru a week or so ago, ikipingana wazi wazi na maelekezo ya Rais, Kiukweli nilijua wamekuwa misquoted. Sikutaka kuamini kwamba kwa uelewa wa wasomi kama Prof. Ndullu na Mafuru hawakujua implications za kauli zao (contradicting the President in public). Kwa hiyo kutumbuliwa kwa Mafuru to me, it was matter of time. Ingawa Gov. Ndullu hajatumbuliwa, lakini I BELIEVE it is a matter of WHEN not IF. Wenyewe wanasema : His position is no longer tenable! He should be wise to know that.
1. WaTanzania wote tunajua kabisa JPM ameamua ku-invest mtaji wake wote wa kisiasa kwenye swala la ubadhirifu na ufisadi wa mali ya umma. And that's why wananchi wengi wanam-support (na wengine hawam-support). Now Kaka yangu Mafuru wewe ni nani mpaka uamue ku-challenge signature commitment ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? kwa Raia wake?? Tena asubuhi kwenye media? My brother, you got it wrong. Leo ukiuliza hata humu JF I can bet my last dollar less than 1% ya wachangiaji wanajua majukumu ya Msajili wa Hazina! Sasa hiyo legitimacy ya kum-contradict Rais umeitoa wapi??
2. Wengi hapa tusichanganye mambo. Raisi anaweza kupingwa kabisa in public kwenye sera zake au utekelezaji wa hizo sera. Indeed ndo kazi ya wapinzani bungeni akina Zitto Kabwe, Mbowe nk. Wanampinga Rais and they get paid for that. Hata humu JF tunampinga (na kumtukana) kila siku. Lakini mwajiriwa wa serikali ya Magufuli hana legitimacy kumpinga Rais. I mean Gov. Ndullu, Mafuru nk. Nyinyi ni watendaji. Mwisho wa siku atakayewajibishwa kwenye sanduku la Kura ni Magufuli na si Gov. Ndullu wala Mafuru.
3. Lesson for the future. Si kwamba kuwa na mawazo tofauti ni kosa. Lakini, as long as umeamua kuwa mtumishi kwenye serikali ya JPM. Please you either implement policies za JPM (chama chake) or jump out of the ship.
4. Ndullu na Mafuru kwa kuongea vile mlitaka wananchi wamuelewe vipi Raisi wao? One would say ni uchonganishi!
5. Hata humu JF kuna kaka zangu na wakongwe wenzangu kwenye hili jukwaa...walitumia kauli za Mafuru na Gov. Ndullu..ku-confirm kwamba JPM ni Mchumi uchwara, hana elimu ya uchumi, hashauriki, anaua uchumi, ana wivu..simply because they felt that they arguments were supported by statements za Mafuru na Gov. Ndullu.
6. Kama wewe ni mtumishi wa umma. Please, stick to what you are doing. LEAVE politics to politicians. Kuna watu wenye specialization kumkosoa Magufuli and they get paid for that-from our tax shilling. I repeat by ALL means, Gov. Ndullu na Mafuru mlikosea na mlimkosea Magufuli personally. nyinyi kama watalaam wake you should have done better.
Hivi mfano: Gov. Ndullu na Mafuru mngesema something like: "Mh. Rais ameshaliongelea hili swala la FD mara nyingi......ingawa kisheria kuweka hela FD siyo kosa, lakini, kama alivyotanabaisha Mh. Rais, watendaji wengi wakubwa serikalini wame-abuse hii process. wametumia huu mwanya kujipatia pesa kwa udanganyifu huku huduma za jamii zikizidi kudorora. Ndo maana sisi kama watendaji tulio chini yake tunaunga mkono juhudi za Rais kuhakikisha kwamba hela zote za walipa kodi wa nchi hii..zinatumika kwa matumizi sahihi.....wananchi wapate value for money"...na bla blah nyingine! Doing this you would have supported the President in public while making it clear that FD account is something legal!
I hope hakuna Kiongozi mwandamizi serikalini atakayerudia makosa ya Gov. Ndullu au Mafuru.
NB: Masanja is a private citizen. Doing whatever is legal and within his means to earn a living to support his family and himself.